Kokoriko ya Paw Fum ni ngoma nzuri sana kwa DJ's wa Pub

Kokoriko ya Paw Fum ni ngoma nzuri sana kwa DJ's wa Pub

ngoma kali,pambana mkuu,chukua ushauri wa wadau af uufanyie kazi
Natamani aone maoni yenu ayafanyie kazi, kama ni mtu wa kusikiliza ushauri naimani atabadilika, wapo waandishi wazuri na maproducer wazuri aonane nao wambadilishe
 
Back
Top Bottom