Kolabo ya Lil Wayne & Chris Brown featured by MB Dogg hivi ni kweli jamani?

Kwani ili uwashirikishe ufanyeje maana wote mnasema haiwezekani bila kutuambia kwanini haiwezekani na ili iwezekane unafanyaje ??????????? ( tuongee kwa hoja sio kama walevi wa mataputapu ndio mantiki ya uwepo wa JF)

Mkuu swala LA kumshirikisha chrisbrown kwenye wimbo wako sio swala dogo, unatakiwa uwe na qualifications za maana, at least angekuwa Kati ya A-LIST STARS IN AFRICA, na bado angehitaji nguvu kubwa ya mshawishi anayefahamiana na uongozi wa Chris kwasababu Chris alisema huwa hatozi gharama kwenye collable hilo linakuwa linaleta uzito... Upande wa Lil wyne, duuh nako shida maana yule sidhani kama anafanya bure collable, na wenzetu wameendelea sana kwahiyo gharama yake inakuwa sio kitoto.. Kama unakumbuka kcee alitaka kumshirikisha nick minaj akaambiwa gharama kama mil 630+ kwa wakati huo 2014 ambapo sasa hivi dola imepanda itakuwa imesogea zaidi, sasa hapo fanya makadirio yako upande wa lil wyne..

Sio kitoto kufanya collable na hao watu, na hata kama itawezekana haitakuwa na impact inayotakiwa.. Hakuna mafanikio bila juhudi, na Mb dog yupo vizuri kwahiyo anachotakiwa ni kukomaa zaidi kwa kuangalia game ipo vipi na sio kuruka step
 
Hii thread ihamie jukwaa la jokes make inachekesha hadi machozi?
Kocha alikuwa anahojiwa akataja timu alizo fundisha baada ya kutoka AC milan nikaenda juventus pale mwaka huo tulichukua kombe mkataba wangu ulipoishia nikahamia inter milan kwa miaka mwili kisha nikatoka na kujiunga na sampdoria ambayo mpaka sasa nipo nayo timu zote nilizozitaja zinatoka wilaya yetu ya temeke.Duh mwandishi hoi.
 
Mkuu swala LA kumshirikisha chrisbrown kwenye wimbo wako sio swala dogo, unatakiwa uwe na qualifications za maana, at least angekuwa Kati ya A-LIST STARS IN AFRICA, na bado angehitaji nguvu kubwa ya mshawishi anayefahamiana na uongozi wa Chris kwasababu Chris alisema huwa hatozi gharama kwenye collable hilo linakuwa linaleta uzito... Upande wa Lil wyne, duuh nako shida maana yule sidhani kama anafanya bure collable, na wenzetu wameendelea sana kwahiyo gharama yake inakuwa sio kitoto.. Kama unakumbuka kcee alitaka kumshirikisha nick minaj akaambiwa gharama kama mil 630+ kwa wakati huo 2014 ambapo sasa hivi dola imepanda itakuwa imesogea zaidi, sasa hapo fanya makadirio yako upande wa lil wyne..

Sio kitoto kufanya collable na hao watu, na hata kama itawezekana haitakuwa na impact inayotakiwa.. Hakuna mafanikio bila juhudi, na Mb dog yupo vizuri kwahiyo anachotakiwa ni kukomaa zaidi kwa kuangalia game ipo vipi na sio kuruka step
Asante Kidingi kwa ufafanuzi nadhani wengi watakuwa wamenufaika.
 
labda Diamond. hata kiba mwenyewe hawezi
Angeaza kolabo ni kina shetta,harmonise kisha avuke boda akafenye kolabo na teja prezzo akaze msuli tena akafanye kolabo na shemeji Huawei na Davido kisha apige tizi kama mwaka apige kolabo na kina 2Face hapo ndipo amtumie request chris brown akiambatanisha link ya youtube atakayofanya na 2Face itamchukua kama miaka mi5 kutimiza ndoto yake kama akiwa serious.
 
Duh miaka 5 asubiri tena?wakati mwenzio yupo ktk mchakato wa kujiandaa kukwea pipa aelekee uko kwa Obama!Mwezi June kitu cha kolabo kitakuwa ready.

Back
Top Bottom