Toa maelezo kamili kalabo zipi hizo zilizo mpeleka huko unamaanisha izi anazo fanya na wakina mziwanda?Nimeamini collable ni kitu kizuri sana maana bila kolabo na mwaka huu tusingemsikia kiba kwenye tuzo za MTV mama.....
Mashabiki tuachani kuzipuuzia collable coz zinasaidia msanii kukua na kuongeza mashabiki
Unconditionally bae ndo imempeleka ukoToa maelezo kamili kalabo zipi hizo zilizo mpeleka huko unamaanisha izi anazo fanya na wakina mziwanda?
Wakati gani uwo kakaNi furaha mwanamuziki wa TZ kuitangaza nchi kimataifa, haijalishi kaimbaje uzalendo ni kitu kizuri sana tumsaport Kiba ni wakati wake sasa.
Wakenya Ndio waidai link kwaajili ya saut solTuwekee na link tupige kura kabisa. Bila kupiga kura tunaweza kukosa ushindi
Wametoboa kimataifa bila colaboWakenya Ndio waidai link kwaajili ya saut sol
Sie tukomae na hawa wetu kwanza.
Ila Hawana mafanikio kama wakwetu waliotoboa kwa colabo.Wametoboa kimataifa bila colabo
Ila Hawana mafanikio kama wakwetu waliotoboa kwa colabo.Wametoboa kimataifa bila colabo
Ni kweli yaani yale mamidundo ya Kenya hata hayaeleweki , yaani hawataki kubadilika mfano nyimbo ya Fimbo chapa na midundo ya staili hiyo wasitegemee kufika mbali
Nyie vipi isingekuwa unconditionally bae kiba msingemsikia na mwaka huu kwenye MTV mama kwanza sauti sol wapo kwny category kama nne iv kwa hiyo mziki wao upo juuhahahaha mkuu umenichekesha kweli!!
Fafanua mkuu envy katokea wapi tenaenvy!!
Nyie vipi isingekuwa unconditionally bae kiba msingemsikia na mwaka huu kwenye MTV mama kwanza sauti sol wapo kwny category kama nne iv kwa hiyo mziki wao upo juu
Wakenya Ndio waidai link kwaajili ya saut sol
Sie tukomae na hawa wetu kwanza.
yaani wasanii wa Kenya ni vituko mara waimbe sijui kinyaunyau, mara sijui kambilikimo mkoraNi kweli yaani yale mamidundo ya Kenya hata hayaeleweki , yaani hawataki kubadilika mfano nyimbo ya Fimbo chapa na midundo ya staili hiyo wasitegemee kufika mbali