Kolabo yampeleka Kiba MTVMama

Kolabo yampeleka Kiba MTVMama

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Nimeamini collable ni kitu kizuri sana maana bila kolabo na mwaka huu tusingemsikia kiba kwenye tuzo za MTV mama.....

Mashabiki tuachani kuzipuuzia collable coz zinasaidia msanii kukua na kuongeza mashabiki
 
Toa maelezo kamili kalabo zipi hizo zilizo mpeleka huko unamaanisha izi anazo fanya na wakina mziwanda?
 
Ni furaha mwanamuziki wa TZ kuitangaza nchi kimataifa, haijalishi kaimbaje uzalendo ni kitu kizuri sana tumsaport Kiba ni wakati wake sasa.
 
Tuwekee na link tupige kura kabisa. Bila kupiga kura tunaweza kukosa ushindi
 
Ni furaha mwanamuziki wa TZ kuitangaza nchi kimataifa, haijalishi kaimbaje uzalendo ni kitu kizuri sana tumsaport Kiba ni wakati wake sasa.
Wakati gani uwo kaka
 
Ni kweli yaani yale mamidundo ya Kenya hata hayaeleweki , yaani hawataki kubadilika mfano nyimbo ya Fimbo chapa na midundo ya staili hiyo wasitegemee kufika mbali
 
hahahaha mkuu umenichekesha kweli!!
Nyie vipi isingekuwa unconditionally bae kiba msingemsikia na mwaka huu kwenye MTV mama kwanza sauti sol wapo kwny category kama nne iv kwa hiyo mziki wao upo juu
 
na wakwetu walioenda ni nani na nani...tuwapigie kura
 
Nyie vipi isingekuwa unconditionally bae kiba msingemsikia na mwaka huu kwenye MTV mama kwanza sauti sol wapo kwny category kama nne iv kwa hiyo mziki wao upo juu

hajakujibu wewe , acha kisebusebu
 
Ni kweli yaani yale mamidundo ya Kenya hata hayaeleweki , yaani hawataki kubadilika mfano nyimbo ya Fimbo chapa na midundo ya staili hiyo wasitegemee kufika mbali
yaani wasanii wa Kenya ni vituko mara waimbe sijui kinyaunyau, mara sijui kambilikimo mkora
 
Back
Top Bottom