Komaa na wazo lako usibabaike na mawazo ya wengine, utafika tu

Very true.... Kati ya vitu vinavyofelisha wengi ni hilo la kutoamini katika kile wanachofanya na kufuata ya wengine. Look no further, start where u are.
 

Unachosema ni sahihi ila ingependeza kama ungekuwa umeshastick na kupata matokeo!
 
One day yes mkuu
 
Duuh kiukweli hili Swala linaumiza wengi sana. Cha msingi ni kujishusha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…