Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuwawa kwa amri ya Rais Magufuli

..Christopher Kadego ameuawa, au hajauwawa?

..Christopher Kadego alikuwa akimpinga Magufuli, au alikuwa akimuunga mkono?
Maswali ya binadamu mwenye akili kubwa utayajua tuu. Mkuu umemaliza hili, kama mtu anapingana na Andiko la Kabendera basi aje na majibu ya maswali haya
 
Kwenye jaribio la mapinduzi ya mwaka 1982 kulikuwa na wahusika zaidi ya kumi,take note wengine wapo hai mpaka leo ukiacha Mohamed Tamimu ambaye aliuwawa siku mbili kabla ya jaribio wengine walikufa vifo vya kawaida kama wakina Zakaria Hans Pope,Maganga na wengine baadhi bado wako hai tuko nao humu humu nchini.Hawajawahi kuonekana kuwa tishio kwa miaka yote hiyo na wengine inawezekana kabisa waliiva zaidi kuliko mzee Kadego kwenye mafunzo waliyoyapata sanasana waliopata mafunzo Cuba chini ya Field marshal Fidel Castro.

Swali iweje mzee Kadego pekee ndio aonekane kubwa tishio kwenye uongozi wa JPM tena akiwa nje ya system na umri ukiwa umeenda?
Mzee Kadego alikuwa na ushawishi gani wa kimfumo mpaka kuwa tishio kwa kiwango hicho kwa JPM?
Kama muandishi wa kitabu anasimulia alikuwa gerezani akapatiwa kikaratasi tena na mtu asiyejulikana kuna legitimacy gani kwenye kuhalalisha ili watu waamini alichoandika muandishi?

Najaribu kujiuliza tu maswali machache bila kuwa biased.
 
Haya maswali angeweza kuyajibu kwa ufasaha mwendazake ni kwa nini aliamua huyo mzee auwawe,uzuri nayeye ameshaungana naye kuzimu.
 
Kabendera aliandika ukweli kuhusu dhalimu magu.
...ukweli upi huo?

...wewe na wenzako wote baada ya kushindwa kuzima fukuto la joto lake-na hivyo vile hamtambuliki-ndio mkaenda kumtumia Kabendera, kwasababu tu ni Mwandishi mwenye credibilty!
btw, hana hiyo credibility, alichokiandika mule ni maokoto ya uwongo mliokuwa mkitapakaza mitandaoni including JF

anawezaje kuwa wa kuaminiwa?
 
Unatia aibu sana!
kuna mtu JF ambaye hajui kwamba wewe ni mamluki? Kibaraka?

...aibu?
☝🏿 aibu?

...baada ya nyuzi zako zote zile za kichawa na kujipendekeza pamoja na hiyo picha juu, gaidi mbowe alipata nini?

...sijakushinda🙌🏾
 
kuna mtu JF ambaye hajui kwamba wewe ni mamluki? Kibaraka?

...aibu?
☝🏿 aibu?

...baada ya nyuzi zako zote zile za kichawa na kujipendekeza pamoja na hiyo picha juu, gaidi mbowe alipata nini?

...sijakushinda🙌🏾
Narudia tena, Hakuna Tajiri Chawa
 
Kabendera ana ufala gani wa kutumika boss? Ama hujui kutumika nini maanaake?
 
Nakipataje hichi kitabu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…