Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuwawa kwa amri ya Rais Magufuli

Ohoo kumbe huyu jamaa alikufa.Nilikuwanamfahamu sana huyu jamaa.ni kweli alikuwa anapata kandarasi za kusaidia vikundi vya waasi huko ukanda wa maziwa makuu.Ila alikuwa ameahachoka kiumri.sema wakati wa serikali zilizopita walikuwa wanashughulika na kuharibu tuu vyanzo vyake vya kiuchumi na pia walikuwa wanatrack movement zake.yaani alikiwa akianziaha biashara inakufa right away.daa ni mtu aliyekufa bila kuwa na mtoto na mke.
 
Ni kwa vipi tumuamini asemayo Kabendera ??!!
Hatuwezi kuamini one sided story 😳 !
 
Nimeuliza swali unanita lofa! Haya nina mahaba ya mwendazake, na wewe baki na mahaba ya Kabendera
Kabendera ni msemaukweli, kama unahisi umeonewa mpeleke kwenye Mahakama zenu za CCM huko.
 
Jamaa atakuwa kalipwa vizuri sana kwa huu uzushi wake. Hata bi mkubwa akitoka madarakani watamchafua vile vile.

Shetani hana rafiki
 
hv anayofanya Samia tuyaache tuanze na ya Marehemu kwanza ?
 
Kabendera ni msemaukweli, kama unahisi umeonewa mpeleke kwenye Mahakama zenu za CCM huko.
kwann hasemi ya mama yaliyowazi , huyo jiwe hayupo wala hana madhara kwa sasa ila huyu wa sasa anaua watu kila uchwao
 
Umenikumbusha mzee ana nyumba Moja KATIKATI aliweka handaki mtaanwalipojua wakaenda kumshatki sijui ikawaje yakaisha akakose Mwaka huohuo akanunua cruiser nyekundu enzi hizo nyonya damu wanatangazwa mbaya sijui walimfikiraje yule mzee kila akipitannyonya damu mpaka akahama

Mpaka kesho kumeoangishwa Apke katil tumepaziba kabisa NGUMU kujua hapa ukifungua inaingia chiini

Mpaka kesho ukishuka kituo KIMOJA ukiwa unaenda maeneo hayo unasikia kwa mnyonya damu
Loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…