misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Ila mwaandishi alikuwa na bahati ya pekee si ndio?Alikuwa ni mshamba na muoga,sasa yako wapi, kaua wenzake na yeye kawa mfu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mwaandishi alikuwa na bahati ya pekee si ndio?Alikuwa ni mshamba na muoga,sasa yako wapi, kaua wenzake na yeye kawa mfu.
We LOFA, hukuona namna ukamataji wa Kabendera ulivyofanyika? Punguza MAHABA na mwendazake.Uongo mtupu
Kwanini akumuua Kabendera?
Ohoo kumbe huyu jamaa alikufa.Nilikuwanamfahamu sana huyu jamaa.ni kweli alikuwa anapata kandarasi za kusaidia vikundi vya waasi huko ukanda wa maziwa makuu.Ila alikuwa ameahachoka kiumri.sema wakati wa serikali zilizopita walikuwa wanashughulika na kuharibu tuu vyanzo vyake vya kiuchumi na pia walikuwa wanatrack movement zake.yaani alikiwa akianziaha biashara inakufa right away.daa ni mtu aliyekufa bila kuwa na mtoto na mke.Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”
Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.
Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.
Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.
My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
Nimeuliza swali unanita lofa! Haya nina mahaba ya mwendazake, na wewe baki na mahaba ya KabenderaWe LOFA, hukuona namna ukamataji wa Kabendera ulivyofanyika? Punguza MAHABA na mwendazake.
Ni kwa vipi tumuamini asemayo Kabendera ??!!Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”
Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.
Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.
Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.
My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
Kabendera ni msemaukweli, kama unahisi umeonewa mpeleke kwenye Mahakama zenu za CCM huko.Nimeuliza swali unanita lofa! Haya nina mahaba ya mwendazake, na wewe baki na mahaba ya Kabendera
hv anayofanya Samia tuyaache tuanze na ya Marehemu kwanza ?Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”
Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.
Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.
Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.
My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
kwann hasemi ya mama yaliyowazi , huyo jiwe hayupo wala hana madhara kwa sasa ila huyu wa sasa anaua watu kila uchwaoKabendera ni msemaukweli, kama unahisi umeonewa mpeleke kwenye Mahakama zenu za CCM huko.
Unaposema huu ni uongo ni lazima ujue ukweli ni upi. Sasa tuambie ukweli wa waliomuua Kadego, la sivyo jitafakari kufikiri kwakoHuu uongo sasa. Mwamba kaongeza chumvi zaidi.
Hii kamba tushairuka sasa hatunasi hataHahahaha, alikua anajazia kurasa za kitabu Kwa story km hizo, eti alipitishiwa kikaratasi as if ni Bonge la Siri alipewa
Hicho kijarida kimepotea mapema sana chatini kama nyimbo za bongofleva za siku hizi. Unakilazimisha kitrendi tena?
Hahahaahaaa
Asee mbona tunatishana tena ?
Siwezi ku urge na wewe kupoteza muda, kila mtu akiongea tofauti upendacho ni ccm,Kabendera ni msemaukweli, kama unahisi umeonewa mpeleke kwenye Mahakama zenu za CCM huko.
Yule kweli kabendera,pengine ni punguani.Yaani Jenerali anaingia uvunguni.Afisa mkubwa wa jeshi afanye kituko kama hicho kisa kuongea na simu nikaona huu utoto sasa.
Kitabu ni fictional story, kama vitabu vya Erick ShigongoSource: Kikaratasi nilichopenyezewa na mtu asiyejulikana nilivyokuwa Selo.
Lengo la kitabu ni kuzungumzwa au kufichua. Tumeshajua watu kibao ambao wameuwawa na Mwendazake akiwemo Ben. Ishafahamika kote.Mbona kitabu hakizungumziwi tena..?