Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuwawa kwa amri ya Rais Magufuli

Miaka 67 ni mtu mzee? Angalau miaka 70 uzee uanzie hapo
 
Hata mzee wa tanga alitekwa safarini na akauwawa na waoga.
 
Ndugu mwandishi story yako inatufundisha nin? Au tufanye nin?
 

Viongozi wote webye mkono wa chuma kwa kawaida ni Waoga.
 
Familia ya Eric Kabendela ni wastarabu sana (dereva kwa RAS Kagera "U"; baba yake pale Pepsi Kashai nk nk) - sijui huyu huu moyo kautoa wapi!!!

Erick tulia, epuka hasira zilizopitiliza na mtii sana kiongozi wako
 
There has to be a motive mpaka kumuua/dhuru mtu.

Mtu alietaka kupindua nchi in the 80's ana relevance gani kipindi cha Magufuli?
Hans Pope alipelekewa moto kwa kesi zisizoeleweka akiwa ni mtu wa hospitali tu, hajiwezi tena, ila biashara zake ziliandamwa kupita maelezo.
 
Waweza kutoa mfano dhabiti wa USAID kufadhili baadhi ya machafuko? Hilo la wanasiasa waliojikimbiza, eti watarejea baada ya USAID kufariki, ngoja tusubiri utabiri wako.
 
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.🥺🥺🥺🚶🏿🚶🏿🚶🏿
 
Kadego alikuwa rafiki yangu,nilimfahamu kupitia Kapten Maganga.Nikikutana naye mara kadhaa baadaye nikawa sympathy.Kumbe lile jamaa lilipta naye
Hujui kuwa Rafiki yako kauwawa?

Nawe mwongo tu kama kabendera.
 
Samia naye anapitia humohumo, yeye anateka, kuua na kupoteza hata vijana wadogo wasio na impact yeyote
 
Waweza kutoa mfano dhabiti wa USAID kufadhili baadhi ya machafuko? Hilo la wanasiasa waliojikimbiza, eti watarejea baada ya USAID kufariki, ngoja tusubiri utabiri wako.
Kama wewe mwandishi mkongwe umepitwa na hili la USAID pamoja na taasisi za nje kufadhili machafuko na migogoro mimi ni nani nikuthibitishie wewe?
LGBTQ pamoja na ajenda nyingine nyingi ni baadhi tu ....!
Baada ya USAID kufutiliwa mbali ...... TUTARAJIE waandishi wengi under their payrols kutokuwa kama awali...!
 
Mliache JIWE lipumzike kwa amani, enough is enough.
 
Hicho kijarida kimepotea mapema sana chatini kama nyimbo za bongofleva za siku hizi. Unakilazimisha kitrendi tena?
Umeona .. kishasahaulika na allegations nyingi unaona ni za kusadikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…