imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Acheni kutetea Mafedhuli.Ila mwaandishi alikuwa na bahati ya pekee si ndio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kutetea Mafedhuli.Ila mwaandishi alikuwa na bahati ya pekee si ndio?
Ulivyofahamu WAMEFUFUKA..? acheni kuchafua watu na agenda za kipuuziLengo la kitabu ni kuzungumzwa au kufichua. Tumeshajua watu kibao ambao wameuwawa na Mwendazake akiwemo Ben. Ishafahamika kote.
🔧🔧🔧🫡kwann hasemi ya mama yaliyowazi , huyo jiwe hayupo wala hana madhara kwa sasa ila huyu wa sasa anaua watu kila uchwao
Hata mzee wa tanga alitekwa safarini na akauwawa na waoga.Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”
Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.
Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.
Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.
My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.

Kwani aliemuua Ben kafufuka?Ulivyofahamu WAMEFUFUKA..? acheni kuchafua watu na agenda za kipuuzi
Hans Pope alipelekewa moto kwa kesi zisizoeleweka akiwa ni mtu wa hospitali tu, hajiwezi tena, ila biashara zake ziliandamwa kupita maelezo.There has to be a motive mpaka kumuua/dhuru mtu.
Mtu alietaka kupindua nchi in the 80's ana relevance gani kipindi cha Magufuli?
Waweza kutoa mfano dhabiti wa USAID kufadhili baadhi ya machafuko? Hilo la wanasiasa waliojikimbiza, eti watarejea baada ya USAID kufariki, ngoja tusubiri utabiri wako.Eti mtu GEREZANI halafu mtu huyo huyo apate habari mbaya tu zaidi ya 100 kumhusu mtu mmoja tu....... tena taarifa hizo akizipata akiwa gerezani tena kutoka vyanzo tofauti....!
UFADHILI na NGUVU nyingi inayotumika kumchafua MAGUFULI unatia mashaka sana juu ya wenzetu hawa wenye ufadhili wa moja kwa moja wa nchi za ULAYA......
(Nimefurahi kwa sehemu kwa TRUMP kuifutilia mbali USAID kwani inafadhili baadhi ya machafuko kwenye nchi kama upuuzi huu)
NB: baada ya USAID kufaliki, tutegemee wanasiasa wengi "waliojikimbiza" kurejea na kuacha upuuzi wao wa kuichafua nchi yetu pendwa kwa manufaa yao na ya WEUPE
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.🥺🥺🥺🚶🏿🚶🏿🚶🏿Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”
Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.
Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.
Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.
My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
Hujui kuwa Rafiki yako kauwawa?Kadego alikuwa rafiki yangu,nilimfahamu kupitia Kapten Maganga.Nikikutana naye mara kadhaa baadaye nikawa sympathy.Kumbe lile jamaa lilipta naye
Samia naye anapitia humohumo, yeye anateka, kuua na kupoteza hata vijana wadogo wasio na impact yeyoteNaendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”
Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.
Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.
Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.
My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
Sawa Boss.Unaposema huu ni uongo ni lazima ujue ukweli ni upi. Sasa tuambie ukweli wa waliomuua Kadego, la sivyo jitafakari kufikiri kwako
Kama wewe mwandishi mkongwe umepitwa na hili la USAID pamoja na taasisi za nje kufadhili machafuko na migogoro mimi ni nani nikuthibitishie wewe?Waweza kutoa mfano dhabiti wa USAID kufadhili baadhi ya machafuko? Hilo la wanasiasa waliojikimbiza, eti watarejea baada ya USAID kufariki, ngoja tusubiri utabiri wako.
Wewe unajua alipo Kadego?Huu uongo sasa. Mwamba kaongeza chumvi zaidi.
Umeona .. kishasahaulika na allegations nyingi unaona ni za kusadikikaHicho kijarida kimepotea mapema sana chatini kama nyimbo za bongofleva za siku hizi. Unakilazimisha kitrendi tena?