Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Thanks mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitabu kimeandikwa na mwenye chuki na huyo aliyemuandika, dhamira yake kumchafua imetimia,je kwanini yeye akuuliwa?Ungesoma hicho kitabu au at least ungejua yaliyomsibu usingetoa comment hii. No research no right to speak.
TULIPOTEZANA KITAMBO MAANA HATA NAMBA YAKE ILIPOTEA.KAMA UNABISHA SAWA.Hujui kuwa Rafiki yako kauwawa?
Nawe mwongo tu kama kabendera.
Hujasoma hicho kitabu soma kwanz ahutauliza hilo swali tena.Kitabu kimeandikwa na mwenye chuki na huyo aliyemuandika, dhamira yake kumchafua imetimia,je kwanini yeye akuuliwa?
Mbona wakati wa JK watu wakitekwa ham hamkusema kwa amri yake. Mbona sasa wanatekwa na kuuawa hamsemi ni amri ya mtu fulani? We itakuwa unetumwa kumchafua, hachafukiMagufuli alikuwa katili aliyeona kuua watu ndio namna nzuri ya kupambana nao, cha ajabu yeye mwenyewe kalamba mchanga hata miaka 10 ya urais hakumaliza.
Sawa, wewe msafishe. Sema dunia ina maajabu, yaani "Kafa Daktari Magufuli, kapona Mgonjwa Lissu." Inashangaza sana.Mbona wakati wa JK watu wakitekwa ham hamkusema kwa amri yake. Mbona sasa wanatekwa na kuuawa hamsemi ni amri ya mtu fulani? We itakuwa unetumwa kumchafua, hachafuki
kivipi dadavua, uwongo wake vinvinevyo huna hoja kaa kimya.Huu uongo sasa. Mwamba kaongeza chumvi zaidi.
Mshakopa virushi na visimu vya mkopo mnajikuta vidume wenyewe kuambia watu wakae kimya. Halafu ukute mimi baba yako, shauri yako.kivipi dadavua, uwongo wake vinvinevyo huna hoja kaa kimya.
baba kama hana point, akae kimya.Mshakopa virushi na visimu vya mkopo mnajikuta vidume wenyewe kuambia watu wakae kimya. Halafu ukute mimi baba yako, shauri yako.