Komando na Manati

Umewah kusikia stori kwamba moja ya mafunzo ni kuachwa porini kwa siku kadhaa na inatakiwa u survive?
Hiyo tumejifunza tukiwa skauti. Nachosema hapa ni kwamba inawezekana alichokionyesha kipo too ceremonial, ndo maama amejipachika mizigo mingi ambayo mingine ni unnecessary kwa maoni yangu. Kwanza inaonekana ata mobility ni shida, kwenye vita ukitembea kwa mwendo ule hiyo mission itakuwa impossible.
 
Kwani tunaopigana nao sisi wapo advanced hvo..?
 
Kwani tunaopigana nao sisi wapo advanced hvo..?
Rwanda amejikita huko. Then iwish tunazo air defence systems maana, Urusi leo hii anapona kutokana kwenye hizo Tomhawks za mmarekani kutokana na kuwa na mfumo mzuri wa kujilinda pamoja na mfumo mzuri wa electronic warfare. Otherwise Urusi ingekuwa imeshafutika.
 
Wewe unaetaka hizo drone una ji compare na yupi wa kupambana nae ???
 
Rejea historia ya Goliath na Mfalme Daudi akiwa kinda, hapo ndo utajua haujui nguvu ya silaha ndogo km hiyo kwenye uwanda wa vita
Nimecheka sana kwamba Daudi alimpga goliath kwa manati na mawe laini🤣😂😂😂
Sema hiZi din zinachekesha khaaa yaani kamanda wa vita anapigwa na manati anakufa na anakatwa kichwa na mtoto NYie
 
Wewe unaetaka hizo drone una ji compare na yupi wa kupambana nae ???
Drone muhimu sana kwenye survaillance, n hata guidance, yale mambo ya kufyatua makombora bila kujua yanatua wapi yamepitwa na wakati, vita siku hizi ni uchumi, tumia silaha chache but maangamizi makubwa. Kuna hizi pia zinaitwa quadcopter, ni drones zinabeba mizinga au grenades zinakuja mpaka hapo juu yako zeni kinaachia bomu. Hizo drones zimebadilisha sana tides ya vita kwa sana. Kuna zingine zinaitwa fpv drones ni drones zinakuwa suicidal inakuja kujibamiza hapo mlipo but inakuwa imebeba milipuko. Kombination na hiyo inaweza hamisha vita kwenye favour yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…