Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Hiyo tumejifunza tukiwa skauti. Nachosema hapa ni kwamba inawezekana alichokionyesha kipo too ceremonial, ndo maama amejipachika mizigo mingi ambayo mingine ni unnecessary kwa maoni yangu. Kwanza inaonekana ata mobility ni shida, kwenye vita ukitembea kwa mwendo ule hiyo mission itakuwa impossible.Umewah kusikia stori kwamba moja ya mafunzo ni kuachwa porini kwa siku kadhaa na inatakiwa u survive?