Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha,MkuuAisee hawa makomandoo wetu ni hatari sana!
Hata Navy SEALs hawaoni ndani.
Yaani hawa wa kwetu wangepewa kazi ya kumtafuta Osama baada ya 9/11, ingechukua siku mbili tu kumpata.
Na ndo maana huwezi kuwaona Delta Force, Army Rangers, au Navy SEALs kwenye maonyesho yoyote yale kwa sababu watatia aibu tu ukilinganisha na hawa wa kwetu!
JWTZ ni jeshi hatari sana 🫡.
😉