Komando na Manati

Hahahahaha,Mkuu
 
Ningekupa maana ila ulichonikwaza umehoji kwa kukashifu.
Japo nikupe picha kidogo una uelewa gani na survival skills hasa katika jungle?
Hawa ni ni makomandoo feki hawa. Mikwala mingi tu ya kutishia wananchi na kulinda watawala. Makomandoo gani wanashiki kwenye uminyaji demokrasia ili nchi iibuwe raslimali.
 
Tanzania usanii ni mwingi. Hawa wanatumika kutishia raia lakini kiuhasilia hawana lolote. Waswahili hawakukosea waliposema debe tupu haliishi kuvuma.
 
Kwani Kongo uliona Makomandoo wangapi?
 
Kwenye uwanja wa vita kuna mambo mengi sana, nilikuwa sijui kwamba Makomandoo huwa wanatumia manati wakiwa kwenye ulingo wa Vita.

ANGALIA HAPA JINSI KOMANDO ALIVYOBEBA MANATI
View attachment 2870543
Hawa ni "makomandoo" Wa maonyesho tu, mavitu mengi kama mganga wa kienyeji!
Nikiwaangalia hawa nakumbuka wanamazingaombwe waliokuwa wanakuja mashuleni miaka ya 90! There is nothing militarily elite force look! Ni kama kabeba matunguri tu,
Hawa wanawaza kunywa bia,mademu,kununua ist, na kujenga kanyumba kamoja,. Wengi wao, academically wapo weak Sana, div 4 za mwisho.
 
Wenzetu wakituona wanatushangaa. E-war v/s conventional war.
 
Hamna kitu hapo....Afrika hatujawahi kuwa serious.Nikiwaangalia na hiyo mizigo mpaka huruma...Vita vya sasa watu wanatumia akili zaidi ...kidrone kimoja kinachoongozwa na jamaa mwenye kitambi huku anashushia bia...kinasambaratisha hiyo mizigo na masufuria yote....
Anyway wanajiandaa kufanya usafi tarehe 24/Jan.. siku chadema wanapanga kufanya maandamano
 
We ni mweupe kabsa kichwani
 
Hawa ni ni makomandoo feki hawa. Mikwala mingi tu ya kutishia wananchi na kulinda watawala. Makomandoo gani wanashiki kwenye uminyaji demokrasia ili nchi iibuwe raslimali.
Lakini mkubwa tuwe wawazi tu unaweza mtumia highly trained commando kwenda katika ishu hizo tena kwa raia aliyeapa kumlinda? Yani askari aliyefuzu kuvaa maroon beret na mwenye Silver wings kifuani kushoto (full package)..

Achana na wanasiasa.
 
So unataka kutuambia hao siyi real comando, ni wa manyesho?
 
Dah mpaka leo tunadaka nyoka kwahyo kwenye vita kuna nyoka au damu yake inamsaada gani mbona hayo mambo wanafanya wahadzabe kwahyo nao ni makomando?
 
Dah mpaka leo tunadaka nyoka kwahyo kwenye vita kuna nyoka au damu yake inamsaada gani mbona hayo mambo wanafanya wahadzabe kwahyo nao ni makomando?
Hiyo ni joint exercise iliyofanyika kati ya green berets wa US army na SF ya Thailand miaka hii tu hivi karibuni.
Narudia tena vita si muda wote mapigano hicho unachokiona kina maana yake. Sasa sijui nao wahazbe?
 
Attachments

  • NINTCHDBPICT000567409735.jpg
    148.8 KB · Views: 3
Jeshi letu libadilike kwenye maonyesho waonyeshe technology mpya kwenye vita kama tunavyoona Ukraine wakitengeneza drone huku wakiwa vitani sio kutembea na mamizigo makubwa ambayo ukiwa kwenye misheni hauwezi kuyabeba yote hayo...Komandoo kijiko cha chai kwake ni siraha nzuri tu tutoke huko zama za mawe na ujima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…