Komando na Manati

Naona onyesho lilikuwa zuri hadi watu wameiba video yetu.
Your browser is not able to display this video.
 
Watu mna kamba. Eti unakunywa sumu ya cobra. Haya mambo ya kutazama movie na ndio yale yale ya eti commando ngumi inapasua zege. Unywe sumu ya cobra ubaki hai?
 
ila wabongo jman kwan uliona vifaru makombora pale? au mig ungeonyeshwa ivyo pia ungesm mbona atujaona manualy yn alwyz mbongo anatafta weaknes ndio acoment hapo...2kirud na mada manat yanatumika comando kila ktu ni sirah km ushawah kuon movie ya zman ya frank zagarino inaitwa strike alikua na manat anarushia golol zenye milipko
 
Sawa
 
Haya maonesho yetu hasa ya kimedani yanaelekea kukosa mvuto kama ubunifu na mbinu mpya za kimedani hazitakuwepo.
Kila mwaka tunashuhudia kuvunja tofali, mbao na kushuka na kamba kutoka kwenye helkopita.

Dunia inaenda kasi sana, tuwekeze kwenye elimu na vijana . vita ya kubeba makolokolo kama punda ishapitwa na wakati.
Vita ya siku hizi inapiganwa na watu wakiwa ofisini.
Drones
Stealth war planes
ICBM
Interceptors
Radar.
Sipendi namna wanasiasa wanavyolichukulia JWTZ.
 
...Tuombe Vita vya 'Kirafiki' na Waasi Congo, tujue Panapovuja !!! [emoji846][emoji846]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Watu mna kamba. Eti unakunywa sumu ya cobra. Haya mambo ya kutazama movie na ndio yale yale ya eti commando ngumi inapasua zege. Unywe sumu ya cobra ubaki hai?
Sawa ni kamba ila laiti ungejua
 

Attachments

  • NINTCHDBPICT000567409735.jpg
    148.8 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…