Kombe jipya la NBC Premier League hili hapa dondosha maoni yako

At least hili lina muonekano bomba sio kama ile Mashine ya kusagia unga waliyotoa mwaka jana.

Hapa sasa tunaweza kupata mzuka wa kuwa Bingwa
Hili waanze kulitoa mwakani.
 
Makolo hawataki kusikia habari kama hizi. Faraja ndogo waliyonayo saiz ni Mayele asiwe mfungaji bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…