Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Hivi Ngassa sasa atakuwa na mabao ma5 sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi tukiingia wanandugu fainali itakuwaje?
Tangu yeboyebo mkose cha kushangalia klabuni, basi mnataka staz iitwe yeboyebo!
Hivi Ngassa sasa atakuwa na mabao ma5 sio?
Usielete mengine, hii ni advantage kwetu. By the way, TFF na ZFA wote ni wanachama sawa katika CECAFAbravo kili stars!!!! lakini sasa mbona tena njii moja timu 2
Hivi tukiingia wanandugu fainali itakuwaje?
Hivi tukiingia wanandugu fainali itakuwaje?
Itakua poa sana,nilipata bahati kuona wachezaji wa Z'bar wakiondoka yule Beki wetu alikua akihojiwa alisema atapenda kukutana na stars kwani wachezaji anawajua na mechi inaweza kuanzuri na kipimo kizuri kwa makocha wetu.Yaani bora kua na Mzalendo kama Zbar au kuendelea na Maximo
Usielete mengine, hii ni advantage kwetu. By the way, TFF na ZFA wote ni wanachama sawa katika CECAFA
Tufuatilie mechi hapa wakuu.
Hapo Zenji lazima tuchukue kombe!
Usielete mengine, hii ni advantage kwetu. By the way, TFF na ZFA wote ni wanachama sawa katika CECAFA
halafu utapigwa wimbo gani wa taifa!
Hacha hofu, ONE LOVE when brothers meet!Dah hapo sasa mm nawahofia sana Zenji maana kila kukicha wanaimarika walimsimamisha Uganda.
Nimekusoma yule beki wetu!
Historia inawahukumu,na hawajawa wazuri hivyo kuwazidi wenzao wa stars
Hacha hofu, ONE LOVE when brothers meet!
.'