Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
kule hakuna hirizi na kuonga timu mpinzani kama wanavyofanya freinds of simba
Wale Friends of Simba wanauwa soka la bongo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kule hakuna hirizi na kuonga timu mpinzani kama wanavyofanya freinds of simba
Wale Friends of Simba wanauwa soka la bongo!
Huofii watoto wa M7 waliotudunda mechi ya kwanza bado wapoJana Harembee walifungasha dah fraha ilioje!
Unajua wengi tuna mlaumu maximo bure swali langu ni kwamba wachezaji wetu wanajuaaaa..... hata akija kocha wa liverpool hawabadiliki milele
au
Sasa huyu Ngassa kama mnapigia sifa mbona mpaka leo hajafanikiwa soka la kulipwa...
Nadir kasjindwa Cnada, Ngassa kachemsha West Ham...
Mnyama kapeleka ngapi...Henry Joseph, Haruna Moshi..mpo Knada mbili...
Huyo Bengo mbona hata benchi yanga hana namba...acheni mambo ambayo hayana mwanzo wala mwisho...
Mwaka huu ujanja umekwisha hela hakuna kuhonga timu na marefa mnawatupia lawama friends of Simba...
Kubalini YeboYebo hakuna kitu mwaka huu mnajifariji tu...Eriteria kwani Timu...Hata timu yetu za mchangani wangeibuku na ushindi..ngojeni kichapo nusu fainali....
Huofii watoto wa M7 waliotudunda mechi ya kwanza bado wapo

Tumeinyuka Eritrea 4-0.
Najiuliza tukiingia fainali na Zanzibar Heroes itakuwaje?
Nakujua mazee wewe ni friends of Simba! Mnanunua marefarii.....mnahonga wachezaji pinzani janja yenu twajua....simba haina mchango kwenye stars....
Nimeambiwa Zenji watakutana na watoto wa M7 naamini hawa watoto wa ukweni watatolewa tu na watoto wa kizenji.