Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

summary kaka; wafungaji, kocha ni nani, uwanja gani, muda, washangiliaji n.k

Wafungaji ni Ngasa kapiga 3 alafu John Boko ambae angehamia Yanga nae kapiga goli mwakani atatua tu Jangwani
 
Wewe mi Yanga tangia enzi, lakini hapa kipaumbele utaifa

Hata Yanga ni utaifa, ingawa ni utaifa zaidi ya Simba.....siumeona utaifa wa Yanga mpaka mfungaji kawa wa Yanga....Tehee...Yanga oyeee,,,,,,samahani,,,,kilimanjaro oyeeee...hata Zenji oyeeeeeeee..
 
bado dakika 4 mpira uishe kilimanjaro star 4 eritrea 0 (ngasa 3 bocco 1)
 
Hata Yanga ni utaifa, ingawa ni utaifa zaidi ya Simba.....siumeona utaifa wa Yanga mpaka mfungaji kawa wa Yanga....Tehee...Yanga oyeee,,,,,,samahani,,,,kilimanjaro oyeeee...hata Zenji oyeeeeeeee..
Akiyanani wewe ni Babu kubwa!
 
Back
Top Bottom