Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Wape donge hawa Makandambili....walilala na ghafla wameamka leo...Tusubiri mechi ijayo....Suala ya Mgosi, si ndio mbabe wenu kuwatungua....shangilieni tuu na ndio mtakuwa wa kwanza kumtupia lawama maximo akichemsha semi-final...hii ndiyo taabu ya usabiki kwenye mtantau....
Masanilo pls utaifa kwanza, mambo ya uyanga na usimba ni hayafai wakati timu ya Taifa ikiwa inacheza.
And......????Huyo sijui katokea wapi na matokeo yake haya!
Duh hatari sana! hiii. Eritrea wamesawazisha na ktk matuta wamepata 4 kili staz 2 tumetolewa wandugu balaaa tupu!!
halafu utapigwa wimbo gani wa Taifa!
halafu utapigwa wimbo gani wa Taifa!
Maximo big up sana nadhani mziray sasa kapata jibu
Acha utani wewe huyu niliye highlight is indespensable! Chukueni Kocha Mzalendo kama timu langu la Zenj!
hivi kocha wa mdeb ooh sorry Zenji ni mzalendo? mbona wanasema ni MMorocco
hivi kocha wa mdeb ooh sorry Zenji ni mzalendo? mbona wanasema ni MMorocco
Siyo Mmoroco ni Mcomoro hata hivyo ni mzalendo huyo kwani wazenji ni Wacomoro waliolowea
Siyo Mmoroco ni Mcomoro hata hivyo ni mzalendo huyo kwani wazenji ni Wacomoro waliolowea
This is very interesting,....
1. Zanzibar akishinda dhidi ya Uganda, na Kili Stars akishinda dhidi ya Rwanda..ni Kili vs Zanzibar fainali
2. Zanzibar akipoteza na Stars akishinda, we have 1 Team from TZ in the final
3.Kili akipoteza na Rwanda akishinda, we have 1 Team from TZ in the final
4. Kili na Zanzibar wakipoteza wote katika semis wanakutana kutafuta mshindi wa Tatu !
I hope the for the first option