Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Wape donge hawa Makandambili....walilala na ghafla wameamka leo...Tusubiri mechi ijayo....Suala ya Mgosi, si ndio mbabe wenu kuwatungua....shangilieni tuu na ndio mtakuwa wa kwanza kumtupia lawama maximo akichemsha semi-final...hii ndiyo taabu ya usabiki kwenye mtantau....
Hongera Kili Stars kwa ushindi mnono na hatimaye kuingia Nusu Fainali..Pia hongera Mrisho Ngasa kwa kufunga Hat trick na kujijengea mazingira mazuri ya kuwa mfungaji bora wa mashindano(magoli matano si mchezo)