Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Maximo anajilamba lamba kama nyoka.. hehehe

na tutamnyonya macho this time asituzingue kabisa na upara wake kama muuza karanga pale stendi majani mapana tanga
 
duh! hawa wanajeshi wa Kagame hawana adabu kabisa, ndo wanamaliza dakika kwa kugoma kutii red card!
 
It was a good game but we lost, bravo Ngasa,
 
hivi kwa mfano wachezaji wa TZ wakaamua kuanzisha ngumi inakuwaje...wawakate mitama tu kama mechi zetu za mbuzi kule yombo
 
kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisha , ccm zenji watapambana na ccm bara kutafta mshindi wa tatu
 
Balantanda upo mzee....usiweke rehani Mgonjwa yuko ICU....poleni watanzania wenzangu.....yote heri tukubali matokeo. Tusisingizie kamati za ufundi....hatuna kocha kitendo cha kumwacha Kaseja na Chuji ndo matokeo hayo!
 
The best team lost the match....haaaaaa..maximooooo anza ku google kutafuta sababu za kwa nini tumekandamizwa...watu wa magazeti kesho fitna ianze hakuna msamaha hapa ..tushachoka
 
It was a good game but we lost, bravo Ngasa,

Really?
Mazee tulikuwa tunaangalia gemu ileile au nyingine? Maana sijaona chochote pale. Hivi tuna matatizo gani kama taifa? maana kila kitu ni substandard tu ad nauseum ad infinitum.
 
bongo na soka wapi na wapi bana! acha tuweke msisitizo kwenye fani yetu ya kilimo kwanza.
 
Balantanda upo mzee....usiweke rehani Mgonjwa yuko ICU....poleni watanzania wenzangu.....yote heri tukubali matokeo. Tusisingizie kamati za ufundi....hatuna kocha kitendo cha kumwacha Kaseja na Chuji ndo matokeo hayo!

Sasa Masanilo nakubaliana na wewe kwa 700% kuwa kaseja bora zaidi ya huu
upupu, sura lake ziiiito linafungwa magole ya kipuuzi kabisa.

No more for Maximo....inatosha
 
goli lakizembe la kwanza ndio limetuangusha kanikumbusha kipindi cha leahman msimu wa mwisho mipira ilikuwa ina mponyoka kama vile.
 
Really?
Mazee tulikuwa tunaangalia gemu ileile au nyingine? Maana sijaona chochote pale. Hivi tuna matatizo gani kama taifa? maana kila kitu ni substandard tu ad nauseum ad infinitum.

Sio lazima tuone kila kitu sawa;
i saw positivity especially after losing one man... i saw the whoel 90 minutes and i saw what rwanda provided!!!

To me it was a good game!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…