Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

pungezeni munkari, goli linarudi ili vijana. huu mpira mie niliuona jana, ebooh!
 
jamani mlioko uwanjani tupeni dakika zilizosalia...teh
 
Wabongo bwana kila kitu siasa tu! Jamaa wangeingia fainali wangetembezwa kama mamiss ...Bungeni...Ikulu, Buzwagi you mention all those places......Thank you Kagame boys!
 
mi mkwere pyuwa...kweti ni kule msoga..ila siipendi starz ....

Sasa mbona unashabikia rwanda?

Anyway, mie Maximo simzimii (nina post zaidi ya 10 humu) ila nadhani kwa leo tuwe wazalendo kwanza

MTM
 
Kipa wa Rwanda kama shoga eehhh...anapoteza muda kijinga ....!
 
Unatoka sehemu moja na mkulu hahahaha ndo maana wapenda mambo yaleeeeeeeeeeeeeeee!

teh teh ....mtuache watoto wa kikwere bana...acha tubembee kwa raha zetu..mtajuaje na sisi tulitoa rais katika njii hii
 
wamekosa bao la 3 la wazi...
rwanda wanabutua sasa kupoteza muda

Its all over now
 
Back
Top Bottom