kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisha , ccm zenji watapambana na ccm bara kutafta mshindi wa tatu
goli lakizembe la kwanza ndio limetuangusha kanikumbusha kipindi cha leahman msimu wa mwisho mipira ilikuwa ina mponyoka kama vile.
Abdulhalim, Alpha, Arsene Wenger, Balantanda, Bantugbro, Belo+, bnhai, Bumbwini, Crashwise, Cynic, dmaujanja1, FESHO, Gamaha, Ibrah, iramusm, Jibaba Bonge, JOHN KITABI, JuaKali, kalikumtima, Kapinga, Kigogo, Kilakshari, klorokwini, Komavu, Konzogwe, Lussadam, Mafuluto, msabato masalia, Mwita Maranya, Nemesis, Ngalikihinja, PingPong, Roya Roy, saitama_kein, smp143, Stoper
Huyo golikipa ***** yaani hilo goli la kwanza hata ningekuwa mimi ningeokoa
Sio lazima tuone kila kitu sawa;
i saw positivity especially after losing one man... i saw the whoel 90 minutes and i saw what rwanda provided!!!
To me it was a good game!!!
rilaxi greti thinka, "uzembe" ndio family name ya taifa la bongoHuyo golikipa ***** yaani hilo goli la kwanza hata ningekuwa mimi ningeokoa
rilaxi greti thinka, "uzembe" ndio family name ya taifa la bongo
ukigombea urais , kura yangu unayo!Nadhani Uzembe ni middle name ya watanzania!
Na mimi ngoja nitoe tathmini yangu.
Mi nimeona butuabutua tu. I wonder Maximo analipwa mamilioni for more than 4 years now, kuwafundisha vijana butuabutua tuuuuu!
Nasikitika kwamba tunaweza kukaa chini na kujivunia timu chovu kama hii. Yaibu!
Na mimi ngoja nitoe tathmini yangu.
Mi nimeona butuabutua tu. I wonder Maximo analipwa mamilioni for more than 4 years now, kuwafundisha vijana butuabutua tuuuuu!
Nasikitika kwamba tunaweza kukaa chini na kujivunia timu chovu kama hii. Yaibu!
mkuu tafadhali heshima mbele wenger ana cv maximo hana cv yoyote kwenye soka sasa kunatofauti kubwa.Maximo hana tofauti na Arse Wenger! Miaka 4 trophy less....anakula pesa yetu ya kodi!