Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Nimepata taarifa sasa hivi kuwa Kili Stars inaongoza kwa 2-0!
 
Duh lakini Eritrea sio wagumu sana kivile wepesi tu.
 
..Hakuna cha Maximo mazee, wachezaji wetu vilaza wale. Hata ungemleta Ferguson au Ancelloti wale mbona uwezo wao umefika mwisho?

Acha utani wewe huyu niliye highlight is indespensable! Chukueni Kocha Mzalendo kama timu langu la Zenj!
 
kili stars 2 Eritres 0. Mrisho Ngasa na John Boko (Adebayo)
 
Masanilo umeanza sasa uyanga wako. Sema Ngasa wa Kilimanjaro Stars balaa!

Mkuu nisaidie I hate Kilimanjaro Stars na ninapenda vijana wa jangwani yaani yanga ya akina Ngasa
 
Hongera Maximo!
Haya sasa tumetinga nusu fainali; Je tutapita? Tunakutana na nani?
 
Back
Top Bottom