Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ta'adabu!zanziba 1 uganda 2 zanzibar wanabonyezwa kikwao
Mpira bado haujaanza
Unaanza saa ngapi mkuu??
Na wewe hujui, au unatania...tehe
watu bwana..............saaizi kila anaechangia hii thread natoa matumaini ya kufsonga mbele kwa stars lakini watu wale wale walivyokuwa baada ya ile mechi ya ufunguzi hutatamani kuwasikiliza.......mi nilijaribu kuwatuliza waliokuwa na jaziba kuwa huo ni mpira tu na hiyo ni mechi moja tusubiri tuone tukasubiri na sasa tunakenua.............naamini stars tuna uwezo wa kuchukua ubingwa....................sababu zipio...............nia ya muda mrefu ipo.................sasa kilichobaki ni kuwachapa wapinzani na kuchukua ubungwa...........
remember that every team is praying to fet the same...............what matters here is not how long you pray but how did you get prepared for the competetion.................God is one although others believe in gods........i hope we will make it....lets keep on praying..
watu bwana..............saaizi kila anaechangia hii thread natoa matumaini ya kufsonga mbele kwa stars lakini watu wale wale walivyokuwa baada ya ile mechi ya ufunguzi hutatamani kuwasikiliza.......mi nilijaribu kuwatuliza waliokuwa na jaziba kuwa huo ni mpira tu na hiyo ni mechi moja tusubiri tuone tukasubiri na sasa tunakenua.............naamini stars tuna uwezo wa kuchukua ubingwa....................sababu zipio...............nia ya muda mrefu ipo.................sasa kilichobaki ni kuwachapa wapinzani na kuchukua ubungwa...........
stars 0 rwanda 2 ,,dakika ya 13 kipindi cha kwanza.teeeeeh nawadanganya