Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,546
- 2,983
Ghana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimesema ilikuwa group stage?2010 mechi yao haikuwa group stage.
Team nyingi zimepita kwa bahati acha tuone mzee jamaa sio kawaida yao kutoka mapema Sana.Ghana hii iliyopita kwa bahati?? Natabiri itakuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kurudi nyumbani
Kuna habari moja nimeiona Facebook kua Senegal na Egypt wanarudia tena mechi
Dah!... Senegal,Ghana na Cameron wote wana shughuli aisee...
Hali yao ni mbaya sana kwa kweli hadi huruma!Dah!... Senegal,Ghana na Cameron wote wana shughuli aisee...
Hatua ya 16 bora kwa timu slza Africa itahitaji juhudi kubwa sana kufika.
Kombe litabakia ' ulaya' tu, hayo mabara mengine yataishia kuwa washindani na washiriki tu.Fanyeni mnavyo fanya ,pangeni cjui makundi ingieni mtoano lakini ninawambieni mwisho wasiku Brazil ndo bingwa wa kombe la dunia nimemaliza ...... kama una swali uliza
Brazil hii hii ya Neymar Jr?Fanyeni mnavyo fanya ,pangeni cjui makundi ingieni mtoano lakini ninawambieni mwisho wasiku Brazil ndo bingwa wa kombe la dunia nimemaliza ...... kama una swali uliza