Kombe la Dunia 2022: Droo ya Hatua makundi

Jamani Simba wekundu wa msimbaz tuko group gani?
 
Fanyeni mnavyo fanya ,pangeni cjui makundi ingieni mtoano lakini ninawambieni mwisho wasiku Brazil ndo bingwa wa kombe la dunia nimemaliza ...... kama una swali uliza
Tupo pamoja,ni zamu yetu sasa kurudisha ufalme wetu.
 
Fanyeni mnavyo fanya ,pangeni cjui makundi ingieni mtoano lakini ninawambieni mwisho wasiku Brazil ndo bingwa wa kombe la dunia nimemaliza ...... kama una swali uliza
How???
 
Algeria si walifurumushwa?
Waarabu this time hakuna kitu wamefanya

Yah wametolewa kamanda, ila sikupenda.. hawa cameroon nawasiwasi nao sana, ushindi wenyewe wameupata kwa tabu ukilinganisha na perfomance yao ni aibu....but, kila la heri kwao ingawa kundi alilopo ni hatari sana....

I wish iwe hivi
Cameroon 3-0 brazili 😊😊
 
Fanyeni mnavyo fanya ,pangeni cjui makundi ingieni mtoano lakini ninawambieni mwisho wasiku Brazil ndo bingwa wa kombe la dunia nimemaliza ...... kama una swali uliza
Mkuu tuombe muda
Huyu ataishia robo au 16 bora
 
Back
Top Bottom