Kombe la dunia limetuonyesha jinsi premier league ya England ilivyo bora

"Who are still"...
Ingawa pia kamsahau shaba ranks!
kubaki sio tatizo... kama waliobaki... amesahau wachezaji wa banley palace leistercity etc... wapo wamebaki lakini... haja wa acknowledge

ndio maana nami nikatoa list ya wengine wa EPL kutokea Arsenal... hakuweka sawa hoja yake... labda kama si kumuelewa
 
Inacheza ligi au nchi kwny kombe la dunia,mbona kagame cup timu nyingi ni za tz inamaana tz ligi yake ni bora
 
Bahati tu Ile, Messi Ronaldo, neymar, lewandonsk, iniesta, Ozil wote wametoka haina maana kuwa akina Lingard, Kane na Rahim sterling ni wazuri zaidi ya hao mafundi wa dunia
 
Wamezifikisha nchi zao nusu final hadi final
Ukiangalia Vikosi vya kwanza vya france na belgium na England
Wachezaji wengi wanatoka EPL na wana michango mikubwa
 
Mleta mada,mpira umeanza kuufuatilia kuanzia kwenye hili kombe la wc linalochezewa Russia? ubora wa ligi haupimwi kwenye team za taifa bali kwenye club kwa kukutanisha club za nchi mbalimbali hasa kwenye mashindano ya UEFA na EUROPA.
Sasa wachezaji kama hawawezi kusaidia timu zao za taifa utasema wana msaada sasa
 
Kwahyo 2014, 2010, 2006,...ligue ya England haikuwa bora sio!?

Bora tu Croatia au France wachukue kombe kutuepusha na mikelele ya wafia Epl
 
Yaan wameona tu lukaku, hazard, kante basi kelele nyingi

Hivi kama England wangedominate soka la kuanzia 2008 hadi 2012 badala ya Spain sijui tungekuwa tunajificha wapi
 
Kwahyo 2014, 2010, 2006,...ligue ya England haikuwa bora sio!?

Bora tu Croatia au France wachukue kombe kutuepusha na mikelele ya wafia Epl
Huyo france mwenyewe Ana nyota wa EPL ambao ni roho ya team ngolo kante, paul pogba, Olivia Giroud
 
ni sawa Spain ingetinga Nusu fainali
maana team nzima imacheza La liga.
Hatushangai hapo kwasababu England na Frace nzima zimejaa wachezaji wa EPL

Kawaidaa
 
Mleta mada,mpira umeanza kuufuatilia kuanzia kwenye hili kombe la wc linalochezewa Russia? ubora wa ligi haupimwi kwenye team za taifa bali kwenye club kwa kukutanisha club za nchi mbalimbali hasa kwenye mashindano ya UEFA na EUROPA.
hata hayo mashindano ya mtoano UEFA/EUROPA hayapimi ubora wa ligi,kwa mfano madrid na spurs ipi timu!?,barcelona na roma ipi timu bora,liver kafika fainali barcelona hakufika,hapo utasemaje la liga ni bora kisa madrid kachukua kombe lakin atletico alitoka makundi!?
 
UEFA hivi karibuni limeenda SPAIN kwa mara ya 3 mfululizo,hii ina maanisha nini kwako? Hayo mashindano hatupimi ubora wa ligi kwa kuhesabu mechi moja moja.
 
UEFA hivi karibuni limeenda SPAIN kwa mara ya 3 mfululizo,hii ina maanisha nini kwako? Hayo mashindano hatupimi ubora wa ligi kwa kuhesabu mechi moja moja.
mechi moja!!?..hivi hakupigwa nje ndani!?..liverpool angeshinda angechukua ubingwa..ni mechi moja pia,lakini atletico na barcelona wametolewa mapema tu,hapo kama ni ubora anao madrid tu na si la liga
 
UEFA wanapokezana tu wababe wa Spain.

Wapiga kelele wa EPL hata wakikutana na sevilla huko EUROPA bado wanakula kipigo cha mbwa koko!

Endeleeni kupiga porojo, msimu ujao tena EUROPA na UEFA vinabaki spain.

Balon d'or ndio hamuisogelei kabisa. Imeshakua mali halali ya wachezaji wa Laliga.

Nyinyi endeleeni kujisifia kua na wachezaji wengi nusu fainali.
 
huwezi kutumia hilo kama kigezo cha kujua ubora wa league.. kipimo cha league huangalia uwezo wa team shiriki kwenye league husika kwenye mashindano ya kimataifa kama CAF.. UEFA n.k.

kumbuka team ya taifa ni mchanganyiko wa wachezaji wazuri wa kwenye taifa husika bila kujali uwezo wa club yake..
 
mechi moja!!?..hivi hakupigwa nje ndani!?..liverpool angeshinda angechukua ubingwa..ni mechi moja pia,lakini atletico na barcelona wametolewa mapema tu,hapo kama ni ubora anao madrid tu na si la liga
mpira umekupita kando aise
 
Akili za kitoto hizi kuamini uefa ndio inatoa au inaeleza league bora ni ipi haya ni makombe madogo mno kulinganisha na kombe la dunia
 
mpira umekupita kando aise
mpira umenipita kando au naenda kinyume na upendavyo!!?..mi ni mwalimu wa kandanda na vyeti ninavyo,sasa sijui nani kati yetu mpira umempita kando!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…