Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
kubaki sio tatizo... kama waliobaki... amesahau wachezaji wa banley palace leistercity etc... wapo wamebaki lakini... haja wa acknowledge"Who are still"...
Ingawa pia kamsahau shaba ranks!
ndio maana nami nikatoa list ya wengine wa EPL kutokea Arsenal... hakuweka sawa hoja yake... labda kama si kumuelewa