Kombe la dunia limetuonyesha jinsi premier league ya England ilivyo bora

Kombe la dunia limetuonyesha jinsi premier league ya England ilivyo bora

mbona unarukaruka!!..nianze na lovren wa croatia,wale wa france taja mwenyewe,halafu hukunijibu swali langu,uefa 2017/18 liverpool kakusanya point 31 madrid 29,nani bora kuliko mwenzie?
Mbona hueleweki wewe? narukaruka nini? wapi nimesema hakuna wachezaji wa epl kwenye final? kama hufuatilii soccer si upige kimya tuu? au unatafuta sababu tu ya kubishana?
 
Back
Top Bottom