The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kaka hiyo orodha ikiwekwa niitea nije.....teh! teh!Tunaomba Orodha ya wachezaji wa EPL walioenda Fainali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka hiyo orodha ikiwekwa niitea nije.....teh! teh!Tunaomba Orodha ya wachezaji wa EPL walioenda Fainali
ina maana hakuna!!?Kaka hiyo orodha ikiwekwa niitea nije.....teh! teh!
Nani kasema hakuna??!!ina maana hakuna!!?
mbona unarukaruka!!..nianze na lovren wa croatia,wale wa france taja mwenyewe,halafu hukunijibu swali langu,uefa 2017/18 liverpool kakusanya point 31 madrid 29,nani bora kuliko mwenzie?Nani kasema hakuna??!!
Pogba, Giroud, Lloris, mendy, ngolo kante, lovren,ina maana hakuna!!?
Mbona hueleweki wewe? narukaruka nini? wapi nimesema hakuna wachezaji wa epl kwenye final? kama hufuatilii soccer si upige kimya tuu? au unatafuta sababu tu ya kubishana?mbona unarukaruka!!..nianze na lovren wa croatia,wale wa france taja mwenyewe,halafu hukunijibu swali langu,uefa 2017/18 liverpool kakusanya point 31 madrid 29,nani bora kuliko mwenzie?
msalimie busquetMbona hueleweki wewe? narukaruka nini? wapi nimesema hakuna wachezaji wa epl kwenye final? kama hufuatilii soccer si upige kimya tuu? au unatafuta sababu tu ya kubishana?