Kombe la dunia limetuonyesha jinsi premier league ya England ilivyo bora

Mkuu umemaliza kila kitu,safi sana.epl ni ligi ya magazetini tu,wakishuka dimbani na watoto wa Spain nikichapo tu.
 
Akili za kitoto hizi kuamini uefa ndio inatoa au inaeleza league bora ni ipi haya ni makombe madogo mno kulinganisha na kombe la dunia
UEFA - Michuano ya klabu bingwa ulaya.

Ligi bora - ligi yenye klabu zinazofanya vizuri katika mashindano ya vilabu kwa ujumla.

Kombe la dunia - michuano ya timu za taifa.


Sasa nashangaa wewe unaejiita mwalimu wa soka mwenye vyeti, unapopima ubora wa ligi (mashindano ya klabu) kwa kutumia kombe la dunia ambalo ni michuano ya timu za taifa!

Unatakiwa kuporwa hivyo vyeti!
 
mechi zote uefa msimu uliopita madrid kakusanya point 29 wakati liverpool imekusanya point 31,kwa uelewa wako mkubwa hapo nani ni bora!?..linganisha hivyohivyo kwa timu zingine za la liga na epl tuone nani bora,maanake mechi ya fainali ni moja,na kama kupigwa madrid kanyooshwa vizuri tu na spurs
 
Kwani Mkuu timu nyingine zilizofika hatua hiyo tusemaje ligi zao?
Kufika hatua hiyo hauna Mahusiano na ligi...sasa Ufaransa kafika hapo ligi yake utasemaje?
Croatia kafika hapo ligi yake utasemaje?Ubelgiji kafika hapo ligi yake utasemaje?
ndo ndo maana sababu ya huu uligi uligi wa ENGLAND Hatofika fainali...anatolewa na Croatia na Kelele zooote kwisha...England maneno mengii kila siku,vyombo vya habari wao...kesho kwisha habari yake kwa Croatia...kama livyo leo belgium alivyokufa...
 
kama wewe utakuwa unashabikia ENGLAND...Jua kiama ni kesho...England anatolewa mapemaa na Croatia...England mpira wake uko kwenye vyombo vya habari....mwaka huu kafika Nusu fainali hatupumui...wakati wenzake miaka mingi tuu wanafika hapo kama Croatia.ujerumani nk.Englang hana kitu...ana nini....kesho anatoka mapemaaa
 
Croatia ambayo haina mchezaji kutoka england inaondoka
 
England timu nzima wanacheza epl wameenda kutolewa na mafundi wawili wa la liga. La liga ndo ligi ilio na wachezaji wengi mechi ya final. Epl subirini mechi ya mshindi wa tatu England vs Belgium muone wachezaji wenu
 
Utabiri wako umekamilika mkuu,
Thanks mkuu,
Croatia wametuokoa na NOICE POLLUTION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…