Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Labda Ngolo Kante pekee hao wengine ni vimeoHuyo france mwenyewe Ana nyota wa EPL ambao ni roho ya team ngolo kante, paul pogba, Olivia Giroud
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Ngolo Kante pekee hao wengine ni vimeoHuyo france mwenyewe Ana nyota wa EPL ambao ni roho ya team ngolo kante, paul pogba, Olivia Giroud
Mkuu umemaliza kila kitu,safi sana.epl ni ligi ya magazetini tu,wakishuka dimbani na watoto wa Spain nikichapo tu.UEFA wanapokezana tu wababe wa Spain.
Wapiga kelele wa EPL hata wakikutana na sevilla huko EUROPA bado wanakula kipigo cha mbwa koko!
Endeleeni kupiga porojo, msimu ujao tena EUROPA na UEFA vinabaki spain.
Balon d'or ndio hamuisogelei kabisa. Imeshakua mali halali ya wachezaji wa Laliga.
Nyinyi endeleeni kujisifia kua na wachezaji wengi nusu fainali.
Bora umenisaidia mkuu,jamaa anaonekana sio mtu wa soccer,ni kama analazimisha tu!mpira umekupita kando aise
Mahaba ya kocha tu, huyo Giroud kafunga goli gani hata la off side mpaka sasa?Wangekuwa vimeo wangepangwa kikosi kinachoanza
UEFA - Michuano ya klabu bingwa ulaya.Akili za kitoto hizi kuamini uefa ndio inatoa au inaeleza league bora ni ipi haya ni makombe madogo mno kulinganisha na kombe la dunia
mna matatizo nyinyiBora umenisaidia mkuu,jamaa anaonekana sio mtu wa soccer,ni kama analazimisha tu!
mechi zote uefa msimu uliopita madrid kakusanya point 29 wakati liverpool imekusanya point 31,kwa uelewa wako mkubwa hapo nani ni bora!?..linganisha hivyohivyo kwa timu zingine za la liga na epl tuone nani bora,maanake mechi ya fainali ni moja,na kama kupigwa madrid kanyooshwa vizuri tu na spursUEFA - Michuano ya klabu bingwa ulaya.
Ligi bora - ligi yenye klabu zinazofanya vizuri katika mashindano ya vilabu kwa ujumla.
Kombe la dunia - michuano ya timu za taifa.
Sasa nashangaa wewe unaejiita mwalimu wa soka mwenye vyeti, unapopima ubora wa ligi (mashindano ya klabu) kwa kutumia kombe la dunia ambalo ni michuano ya timu za taifa!
Unatakiwa kuporwa hivyo vyeti!
kama wewe utakuwa unashabikia ENGLAND...Jua kiama ni kesho...England anatolewa mapemaa na Croatia...England mpira wake uko kwenye vyombo vya habari....mwaka huu kafika Nusu fainali hatupumui...wakati wenzake miaka mingi tuu wanafika hapo kama Croatia.ujerumani nk.Englang hana kitu...ana nini....kesho anatoka mapemaaaUEFA - Michuano ya klabu bingwa ulaya.
Ligi bora - ligi yenye klabu zinazofanya vizuri katika mashindano ya vilabu kwa ujumla.
Kombe la dunia - michuano ya timu za taifa.
Sasa nashangaa wewe unaejiita mwalimu wa soka mwenye vyeti, unapopima ubora wa ligi (mashindano ya klabu) kwa kutumia kombe la dunia ambalo ni michuano ya timu za taifa!
Unatakiwa kuporwa hivyo vyeti!
Sikujua kama Sheikh Yahya kapata mrithiCroatia ambayo haina mchezaji kutoka england inaondoka
Alikuwa anajaribu kutabiri bila kutumia akili.Sikujua kama Sheikh Yahya kapata mrithi
Mbona mnamsahau welbeckNacho
Ospina
Xhaka
Ozil
nawengine utaongezea
Utabiri wako umekamilika mkuu,kama wewe utakuwa unashabikia ENGLAND...Jua kiama ni kesho...England anatolewa mapemaa na Croatia...England mpira wake uko kwenye vyombo vya habari....mwaka huu kafika Nusu fainali hatupumui...wakati wenzake miaka mingi tuu wanafika hapo kama Croatia.ujerumani nk.Englang hana kitu...ana nini....kesho anatoka mapemaaa