Kizuio
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 845
- 521
Team nyingi zilizoingia robo finaly zilikuwa na wachezaji wengi wanaocheza league ya uingereza
Hata zinazokwenda semi final bado zina wachezaji wengi wanaocheza uingereza
Na hata final itakuwa na wachezaji wengi wanaocheza England
Hii inaonyesha wachezaji wanaocheza England wana ubora mkubwa kuliko league zingine duniani