Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Wachambuzi wa mambo wanasema kuwa probably Premier league ni mashindano makubwa kuliko hata World cup!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi tena mzeeVikosi vingi vya kwanza wachezaji wengi ni kutoka league ya england
Mkuu Russia I hope atapitaNaona England naye amepita,ajitahidi amtoe Croatia ili angalau acheze na bingwa kwenye fainali.
Nani alikwambia iliwahi potea???Upo sahihi, soon EPL inarudisha heshima yake nje ya England. ,
Timu nyingi zipi hizo? Tuonyeshe kwa idadi.
Croatia hapiti amin usiamin,anapita russia
We ndio utaleta nuksi kwa EnglandNilikua shabiki wa
Portugal akatoka
Iran akatoka
Brazil akatoka
Russia akatoka
Sasa nashabikia England
Yaan amtoe bingwa huyo England?Naona England naye amepita,ajitahidi amtoe Croatia ili angalau acheze na bingwa kwenye fainali.