uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Waarabu wametumia dollar bilon 220 jiandae kombe la dunia hii haijawahi kutokea duniani
Ila upate picha halisi ni kuwa Brazil alitumia dola bilion 10 kuandaa kombe la dunia h2014
Russia alitumia dola bilion 13
Na wachumi wanasema mpaka kumalizika kombe la dunia katar wataingiza dola bilion 70 pungufu ya dola bilion 140
Katari ni mzalishaji mkubwa wa gesi na mafuta linaweza isiwe tatizo kwao kiuchumi
Lakini tukigeukia upande wa pili ni kuwa malengo ya waarabu kuandaa kombe la dunia hayajitimia hata robo
Watu bado wanaawaangalia waarabu km magaidi na watu wasiojitambua
Dunia bado inaiangalia mashariki ya kati km sehemu isiyo salama kuishi
Kauli ya mchezaji wa kiarabu ilienda kuharibu taswira yote ya mashindano hili jambo lilipelekea waarabu waendelee kuoneka ni wabuguzi, roho mbaya wasio na utu
Kunyanyaswa na kudhulumiwa wafanyakazi waliokuwa wanaajiriwa kujenga miondombinu ya viwanja,wengi wa watu hawa walikuwa wanatoka nchi za pekstan, india na kwingineko Wafanyakazi wengi walifariki wakiwa kazini ila walitelekezwa.
Baada ya kombe la dunia vile viwanja vitakuwa magofu kwasababu waarabu sio watu wa mpira tofauti na nchi za mpira baada ya mashindano ya kombe la dunia kuisha viwanja hukodishwa au kuuzwa kwa vilabu vikubwa km bayern munich kule ujerumani au urusi na brazil au kule afrika kusini
Itoshe kusema waarabu walikuwa wana pesa ila walikosa akili na mikakati na watu intelligence kwenye football
Tuwaombe Saud arabia wakipata nafasi siku zijazo wasirudie makosa haya