Kombe la dunia linafikia tamati jumapili, Mwarabu ameshindwa kujisafisha duniani

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Waarabu wametumia dollar bilon 220 jiandae kombe la dunia hii haijawahi kutokea duniani

Ila upate picha halisi ni kuwa Brazil alitumia dola bilion 10 kuandaa kombe la dunia h2014

Russia alitumia dola bilion 13

Na wachumi wanasema mpaka kumalizika kombe la dunia katar wataingiza dola bilion 70 pungufu ya dola bilion 140

Katari ni mzalishaji mkubwa wa gesi na mafuta linaweza isiwe tatizo kwao kiuchumi

Lakini tukigeukia upande wa pili ni kuwa malengo ya waarabu kuandaa kombe la dunia hayajitimia hata robo

Watu bado wanaawaangalia waarabu km magaidi na watu wasiojitambua

Dunia bado inaiangalia mashariki ya kati km sehemu isiyo salama kuishi

Kauli ya mchezaji wa kiarabu ilienda kuharibu taswira yote ya mashindano hili jambo lilipelekea waarabu waendelee kuoneka ni wabuguzi, roho mbaya wasio na utu

Kunyanyaswa na kudhulumiwa wafanyakazi waliokuwa wanaajiriwa kujenga miondombinu ya viwanja,wengi wa watu hawa walikuwa wanatoka nchi za pekstan, india na kwingineko Wafanyakazi wengi walifariki wakiwa kazini ila walitelekezwa.

Baada ya kombe la dunia vile viwanja vitakuwa magofu kwasababu waarabu sio watu wa mpira tofauti na nchi za mpira baada ya mashindano ya kombe la dunia kuisha viwanja hukodishwa au kuuzwa kwa vilabu vikubwa km bayern munich kule ujerumani au urusi na brazil au kule afrika kusini

Itoshe kusema waarabu walikuwa wana pesa ila walikosa akili na mikakati na watu intelligence kwenye football

Tuwaombe Saud arabia wakipata nafasi siku zijazo wasirudie makosa haya
 
Kwa ndaaani, kuna kundi kubwa limeumia sana juu ya uwezo, misimamo, ustarabu, na tamaduni za waarabu (waqatar). Na vile hawajawahi kujinyanyua.
 
Weka chuki pembeni ili ueleze vizuri.
Malengo ya Qatar ambayo hayajatimia ni kujisafisha au kupiga pesa?

Watu hawaamin Kama uarabuni ni sehem salama kuishi wakat Zaid ya nusu ya watu Qatar , na UAE yote ni wageni?

Waarabu sio watu wa mpira kivip wakat Wana Benzema, Hakimi, Mo Salah n.k
Tanzania inaweza kuifunga timu gan ya taifa la kiarabu?

Hiv wamiliki wa PSG na Man City ni Wangoni?
 
Una shida wewe fukara wwe
 
Hawa Jobless wanashida na chuki sana toka kwa shemeji yko hapo
 
Nusu ya wageni Hawa wanachukuliwa kwenda kufanya kazi za ndani mkuu

Mfano vibarua walioshiriki ujenzi wa miundo mbinu ya kombe la dunia walikuwa wanalipwa kiduchu wengi wamejifia na wamezikwa km wanyama wasio kuwa na mwenyewe

Waarabu wapo manchester City, PSG,wapo USA kwenye kikapu wamewekeza mapesa

Hizo klabu za wazungu wenyewe wameenda kuweka mapesa tu ili wazungu wayafanyie kazi ila wakiachiwa timu inapotea
Weka chuki pembeni ili ueleze vizuri.
Malengo ya Qatar ambayo hayajatimia ni kujisafisha au kupiga pesa?

Watu hawaamin Kama uarabuni ni sehem salama kuishi wakat Zaid ya nusu ya watu Qatar , na UAE yote ni wageni?

Waarabu sio watu wa mpira kivip wakat Wana Benzema, Hakimi, Mo Salah n.k
Tanzania inaweza kuifunga timu gan ya taifa la kiarabu?

Hiv wamiliki wa PSG na Man City ni Wangoni?
 
Haka kathd kako hapa jf hakana athari yeyote kwa Qatar,
Qatar hakuwataka mashoga na ndio maana mnahangaika kumchafua,eti viwanja vitakua magofu! Nenda kaangalie viwanja vya World cup kule South Africa ndio vimekua magofu.
 
Waarabu wametumia dollar bilon 220 jiandae kombe la dunia hii haijawahi kutokea duniani

Ila upate picha halisi ni kuwa Brazil alitumia dola bilion 10 kuandaa kombe la dunia h2014

Russia alitumia dola bilion 13

Na wachumi wanasema mpaka kumalizika kombe la dunia katar wataingiza dola bilion 70 pungufu ya dola bilion 140

Katari ni mzalishaji mkubwa wa gesi na mafuta linaweza isiwe tatizo kwao kiuchumi

Lakini tukigeukia upande wa pili ni kuwa malengo ya waarabu kuandaa kombe la dunia hayajitimia hata robo

Watu bado wanaawaangalia waarabu km magaidi na watu wasiojitambua

Dunia bado inaiangalia mashariki ya kati km sehemu isiyo salama kuishi

Kauli ya mchezaji wa kiarabu ilienda kuharibu taswira yote ya mashindano hili jambo lilipelekea waarabu waendelee kuoneka ni wabuguzi, roho mbaya wasio na utu

Kunyanyaswa na kudhulumiwa wafanyakazi waliokuwa wanaajiriwa kujenga miondombinu ya viwanja,wengi wa watu hawa walikuwa wanatoka nchi za pekstan, india na kwingineko Wafanyakazi wengi walifariki wakiwa kazini ila walitelekezwa.

Baada ya kombe la dunia vile viwanja vitakuwa magofu kwasababu waarabu sio watu wa mpira tofauti na nchi za mpira baada ya mashindano ya kombe la dunia kuisha viwanja hukodishwa au kuuzwa kwa vilabu vikubwa km bayern munich kule ujerumani au urusi na brazil au kule afrika kusini

Itoshe kusema waarabu walikuwa wana pesa ila walikosa akili na mikakati na watu intelligence kwenye football

Tuwaombe Saud arabia wakipata nafasi siku zijazo wasirudie makosa haya
Nyie Waafrika wa Kusini mwa Sahara mnaakili gani kuzidi Mwarabu?
 
Acha kufananisha Qatar na vtu vya kijinga , Kwanza majamaa hawana maswala ya michezo ndo mana viwanja karbia vyote wamejenga na wanavunja , hap Brazil au Russia , viwanja vilikuwepo na facilities nyingi zipo , ndo mana wametumia kidog , Qatar wameandaa kama ukarimu tuu wala hawahitaji faida , hata hotel nyingi ni temporary , wanamaliza wanavunja wanaendelea na mambo Yao , wamewakarimu tuuu alaf unaanza kuwananga hapa , na nyie andaeni sasa kama hamjapasuka kundule
 
South africa ya wapi iyo isije kuwa unazungumzia yemen kule waarabu wanaokufa na njaa kwa kukosa chakula

Km ni south africa viwanja vyote vinajulikana na ni bora
Haka kathd kako hapa jf hakana athari yeyote kwa Qatar,
Qatar hakuwataka mashoga na ndio maana mnahangaika kumchafua,eti viwanja vitakua magofu! Nenda kaangalie viwanja vya World cup kule South Africa ndio vimekua magofu.
 
Africa kusini aliandaa kombe bora sana la dunia na hakumwaga mapesa km hawa wenzetu waarabu
Waarabu wenyewe ni kutupa mipesa tu bila pesa mkononi hawana tofauti na nyumb
Nyie Waafrika wa Kusini mwa Sahara mnaakili gani kuzidi Mwarabu?
 
Hakukuwa na agenda ya waarabu pale qatar. Kukikuwa na agenda moja tu ya watu wa magharini. Nayo ni kuupa popularity ushoga duniani hususani kuupenueza kwenye nchi za kiarabu. Na hapo wamefanikiwa kweli kweli. Ushoga sasa umekuwa agenda inayojadiliwa arabuni kote ambako hawakuwaga na access na vyombo vya habari vya magaribi. Lkn kupitia hii world cup agenda ya lgbt imekuwa popular arabuni.

Fifa hawakuwapa nafasi waarabu bahati mbaya. Kuna misingi na mizizi mikubwa ya lgbt imepandikizwa kwenye akili za waarabi kwa sasa. Hii ilikuwa ni long term plan tu. Hushangai agenda ya pombe na kula kiti moto imefunikwa na agenda ya ushoga. Wakati mungine kitu kikikatazwa sana ndio kinajitangaza sana.
 
Aliisifu katar kwasababu kamwaga mapesa

Wenzie wanatumia dola bilion kumi yeye anajimwagia zake dola bilion 220

Bahati nzuri Rais wa fifa aliyepita alikiri hadharani kuwa hata mchakato wa katar kupata nafasi ilikuwa ni mchezo mchafu walimwaga mapesa
Bila pesa mwarabu anakuwa km nyumb
Waliokwenda Qatar kuona World cup wameisifu Qatar,Rais wa FIFA ameisifu Qatar,
Wewe uliyepo huko Nanjilinji huna hata umeme ili uangalie mechi eti unaiponda Qatar!! Una fikra za kimasikini sana.
 
Sisi afrika kusini aliandaa mkuu kwa ufanisi mkubwa sana wala hakumwaga mapesa mengi km hawa wenzetu

Ndio maana tukasema uarabuni sio watu wa kupewa kipaumbele kwenye mambo makubwa

Back
Top Bottom