Kombe la dunia linafikia tamati jumapili, Mwarabu ameshindwa kujisafisha duniani

Sasa wewe na Waarabu nani hana akili? Yaani mpaka hapo huoni tu kuwa wewe ndio huna akili? Waarabu wanajua wana viwanja vingapi na capacity inajulikana kwahiyo hesabu zao walijua kabla hata hawajauza tiketi, na kama ulikuwa unaangalia achilia kwenda ambako naamini hujaenda, viwanja vilijaa kwa 98%
Lingine ambalo linaonyesha wewe ndio huna akili ni matumizi ya viwanja baada ya mashindano, wenzako walishasema baadhi ya viwanja ni temporary rejea uwanja wa makontena ushabomolewa baada ya hatua ya makundi tu.
Mwisho waarabu hawakuandaa michuaono hiyo kujipatia fedha ila waliandaa ili watumie hela yao ili mujue wao hawajawahi kuwa na shida ya hela na lengo lao lilikuwa kuwaonyesha mashoga pale sio sehemu salama kwa ajili yao na kila aliyeshadadia aliondoka kabla deni la Taifa halijatangazwa.
 
Tuongee yote kwa kauli ya mchezaji wa morocco na jamii ya kiarabu wameonesha ufinyyu wa fikra.Kuhusu ushoga wenye ustaarabu dhidi ya utu tuukatae.
 
Mwezi wa 6 mpaka 10 hua kuna joto kali sana,miezi mizuri ya kutembelea nchi za Gulf ni kuanzia mwezi wa 10 mpaka mwanzoni mwa May.
 
Mkuu bora waafrika! Waarabu ni kituko duniani
Hivi ndani ya ulimwengu huu kuna jamii inayo dharaulika na kuonekana ya hovyo zaidi ya jamii ya kiafrika?
 
Hakuna mzungu atakaa jangwani

Timu kubwa zimeweka camp wiki moja dubai kurahisisha wachezaji kujikusanya

Lile jangwa limewafanya waarabu wasiwe na akili
Huna akili , Arsenal imeweka kambi inchi ya kiarabu kujiandaa na mechi zake za ligi hata kabla ya Kombe la Dunia klabu kubwa zilikuwa zinaweka kambi inchi za kiarabu ..
 
Uarabuni ni bora uishi dodoma kulko uarabuni
Maghorofa mazuri ila mazingira mabovu

Ni sawa ujenge magorofa kule bahi nani atakubali kukaa
 
Hakuna mzungu atakaa jangwani

Timu kubwa zimeweka camp wiki moja dubai kurahisisha wachezaji kujikusanya

Lile jangwa limewafanya waarabu wasiwe na akili
Ndio maana nikasema huna akili , embu jaribu kugugo na kufuatilia Man U ameweka jambo Uarabuni miaka ya nyuma kam sikosei ati ya 2013-2016 je hapo walikutaka kurahisisha kujikusanya ? hapo sijataja timu nyingine kubwa ambazo zimewahi kuweka kambi Dubai, Abu Dhabi , na Doha Qatar miaka ya nyuma kujiandaa na Pre_season.

Kama umekuwa mjinga kiasi hiki kulalama mitandaoni bila facts baada ya nguvu zako utumie kutafuta ajira au kujiajiri basi haustaili kujibiwa..
 
Mkuu bora waafrika! Waarabu ni kituko duniani
Kwa lipi hilo linalo wapa waafrika uangalau mbele ya waarabu?

Yaani jamii ya kiafrika inayo shindwa kutatua hata matizo madogo madogo kama kujenga vyoo mashuleni mpaka ipate msaada, ndo iwe na uangalau kuliko waarabu ambao ndani ya nchi zao hawajui mgao wa maji na umeme vinafananaje, wenye mahospital mazuri, wenye mabarabara mazuri ,wenye matreni ya umeme?

Ww una sema nchi za kiarabu sio sehemu salama kisa tu baadhi ya nchi zina machafuko.
Ni kuulize kwa hiyo sasa hivi Ukraine ambayo iko Ulaya kuna vita kwa hiyo tuseme Ulaya nzima sio sehemu salama pa kuishi?

Au kwa sababu Congo kuna machafuko basi Africa nzima sio tena sehemu salama?

Unasema waarabu ni jamii isiyo jielewa wakati ndo jamii inayo shikilia uchumi wa nchi yako, ndio wamiliki wa viwanda ,ndio wamiliki karibia vyombo vyote vya usafiri ndio wamiliki wa timu zenu za mipira mnazo shabikia ,wakati nyinyi wenye nchi mna ishi kwa hisani ya kuwa chawa wa CCM.


Ukitaka kujua waafrika ni jamii inayo dharaulika duniani ww chukua mwarabu mmoja hapo muende kwenye ubalozi wotote uwe wa USA, Japan, China,Kanada muombe visa uone ni nani atapewa kipaumbele.

Au ukitaka kujua waafrika ni watu wa hovyo angalia tu hapo S.Afrika ambapo wamekuwa wakiwa shambulia waafrika wenzao na kuwauwa na kuharibu biashara zao huku wakiwaacha wazungu,warabu na wahindi.
Mkuu jaribu kuwa kama mtu aliye elimika.
 
Wavaa kobaaz ni watu walojaliwa kuwa na pesa lakini akili ndio hakuna. Waafrika tatizo hatuna pesa ila akili tunazo sana sema vikundi vichache kama com, na vinginevyo vinaharibu sana kiasi tunaonekana zero 🧠

Kwa mufano mvaa kobaaz anajikuta anapinga ushoga lakini apo apo anamnyanya house gello
 
Wavaa kobaaz ni watu walojaliwa kuwa na pesa lakini akili ndio hakuna. Waafrika tatizo hatuna pesa ila akili tunazo
Sasa wewe muafrika mwenye akili unashindwaje kutengeneza pesa kumshinda mwarabu mvaa kobazi asie na akili,,, hujioni wewe ndo mwehu na sio mwarabu isipokuwa itikadi yake ya kuutoukabali uchoko ndo inakufanya umchukie ila hapa unajificha kwenye kivuli cha akili!!
 
Sasa utakuwaje na akili alafu ushindwe kutengeneza pesa?
 
Waarabu wanashikilia uchumi kwa kutumiwa na wana siasa wa Tanzania!

Waarabu hawana impact Tanzania wakileta fyongo wanaondoka wao wanaacha kila kitu tanzania kwasababu mali wameipata tanzania kwa njia za kitapeli,kutumika na wanasiasa nk

Ubalozini km unaenda kuomba visa CV yako ndio inakubeba

Waarabu ni jamii ya kipumbuvu kulko jamii yeyote duniani

Ndio maana wanakimbia kwao uarabuni kwenda nchi za magharibi hawataki kusoma wala kuishi uarabuni
 
Kwa hio benzema na salah wawakilishe waarabu wote are you out of your sight

Kumiliki Ni Jambo moja kujua mpira Ni Jambo lingne
 
Wewe ndiye mjinga

Timu za ulaya ziende kuweka kambi kwenye nchi joto linasoma 40?

Unafikiri kwann kombe la dunia limefanyika December na sio July?

Hakuna timu ya ulaya za kwenda kuweka kambi kule buana lamda timu kutoka mali na sudani

Newcastle wameenda saud arabia wamekaa siku mbili wakakimbia hali ya hewa mbovu

 
Madrasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…