HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Sasa wewe na Waarabu nani hana akili? Yaani mpaka hapo huoni tu kuwa wewe ndio huna akili? Waarabu wanajua wana viwanja vingapi na capacity inajulikana kwahiyo hesabu zao walijua kabla hata hawajauza tiketi, na kama ulikuwa unaangalia achilia kwenda ambako naamini hujaenda, viwanja vilijaa kwa 98%
Lingine ambalo linaonyesha wewe ndio huna akili ni matumizi ya viwanja baada ya mashindano, wenzako walishasema baadhi ya viwanja ni temporary rejea uwanja wa makontena ushabomolewa baada ya hatua ya makundi tu.
Mwisho waarabu hawakuandaa michuaono hiyo kujipatia fedha ila waliandaa ili watumie hela yao ili mujue wao hawajawahi kuwa na shida ya hela na lengo lao lilikuwa kuwaonyesha mashoga pale sio sehemu salama kwa ajili yao na kila aliyeshadadia aliondoka kabla deni la Taifa halijatangazwa.