See For Me
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 479
- 1,495
LipayaWangoni tena wa mpitimbi [emoji23][emoji23][emoji23]
Qatar lengo Lao ni kijitangaza kibiashara na hilo wanakwenda kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sn kutokana na malengo waliye jiwekea hawakuanda world Cup kwa ajili ya kuonyesha wa sio magaidi wao wamefocus kwenye swala zima la kuifanya QATAR kuwa tourist destination kama ilivyo DUBAI.
Ukija kwenye swala la GHARAMA iliye tumika ni kweli ni kubwa kutokana na ujenzi wa miondo mbinu pamoja na ujenzi wa mji mpya kabisa LUSAIL CITY ambao utaweza ku accommodate zaidi ya watu laki mbili in future jua pia ni NCHI ndogo sn DUNIA yenye wakazi Jumla ya RAIA million 3+ ikiwa ina RAIA halisi wa NCHI kwa maana QATAR CITIZENS ni less than 15% ya population yao 85% yote ni Expatriates kutoka NCHI mbali mbali sasa ndugu yangu jifunze kuangalia fursa zaidi kuliko kuwa na CHUKI ambayo hawezi kukusaidia kitu chochote.
Kupiga kura kuna saidia nini ? Na umewahi kutoka Nje ya Africa ?Hakuna nchi ya kiarabu itabadilika wengi wanaongozwa km kondoo
Nchi isiyopiga kura ni nchi ya kishenzi mtagandamizwa km kondoo
Kuwa na uwezo wa kumiliki pesa hiyo tayari ni akili toshaWavaa kobaaz ni watu walojaliwa kuwa na pesa lakini akili ndio hakuna. Waafrika tatizo hatuna pesa ila akili tunazo sana sema vikundi vichache kama com, na vinginevyo vinaharibu sana kiasi tunaonekana zero 🧠
Kwa mufano mvaa kobaaz anajikuta anapinga ushoga lakini apo apo anamnyanya house gello
Kama kupiga kura ndo maendeleo hii Bongo yetu ina maendeleo gani??Hakuna nchi ya kiarabu itabadilika wengi wanaongozwa km kondoo
Nchi isiyopiga kura ni nchi ya kishenzi mtagandamizwa km kondoo
Mwarabu na wewe na nani anadharaulika dunian?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona unahuzuni dada mwarabu
Aya naomba ujibu
Kwanini mwarabu anadharaulika zaidi duniani?
Kupiga kura kuna saidia nini ? Na umewahi kutoka Nje ya Africa ?
Mwarabu na wewe na nani anadharaulika dunian?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]