Kombe la dunia linafikia tamati jumapili, Mwarabu ameshindwa kujisafisha duniani

Kombe la dunia linafikia tamati jumapili, Mwarabu ameshindwa kujisafisha duniani

Hakuna nchi ya kiarabu itabadilika wengi wanaongozwa km kondoo

Nchi isiyopiga kura ni nchi ya kishenzi mtagandamizwa km kondoo
Qatar lengo Lao ni kijitangaza kibiashara na hilo wanakwenda kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sn kutokana na malengo waliye jiwekea hawakuanda world Cup kwa ajili ya kuonyesha wa sio magaidi wao wamefocus kwenye swala zima la kuifanya QATAR kuwa tourist destination kama ilivyo DUBAI.

Ukija kwenye swala la GHARAMA iliye tumika ni kweli ni kubwa kutokana na ujenzi wa miondo mbinu pamoja na ujenzi wa mji mpya kabisa LUSAIL CITY ambao utaweza ku accommodate zaidi ya watu laki mbili in future jua pia ni NCHI ndogo sn DUNIA yenye wakazi Jumla ya RAIA million 3+ ikiwa ina RAIA halisi wa NCHI kwa maana QATAR CITIZENS ni less than 15% ya population yao 85% yote ni Expatriates kutoka NCHI mbali mbali sasa ndugu yangu jifunze kuangalia fursa zaidi kuliko kuwa na CHUKI ambayo hawezi kukusaidia kitu chochote.
 
Wavaa kobaaz ni watu walojaliwa kuwa na pesa lakini akili ndio hakuna. Waafrika tatizo hatuna pesa ila akili tunazo sana sema vikundi vichache kama com, na vinginevyo vinaharibu sana kiasi tunaonekana zero 🧠

Kwa mufano mvaa kobaaz anajikuta anapinga ushoga lakini apo apo anamnyanya house gello
Kuwa na uwezo wa kumiliki pesa hiyo tayari ni akili tosha
Mafukara
Hakuna nchi ya kiarabu itabadilika wengi wanaongozwa km kondoo

Nchi isiyopiga kura ni nchi ya kishenzi mtagandamizwa km kondoo
Kama kupiga kura ndo maendeleo hii Bongo yetu ina maendeleo gani??
 
Back
Top Bottom