Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Upo sahihi mkuu, marekani ni Dunia ya kwanza mambo kama hayo hata kama kuna vibe yataonekana ya kawaida tu.Shamra shamra zipo sana ila haiwezi kulingana Qatar. Qatar ni nchi ndogo sawa na jimbo moja tu dogo la Marekani yenye majimbo 50. Qatar WC ilikuwa kwenye viwanja 8 vilivyo karibu karibu kwa hiyo watu wote waliosafiri walikuwa sehemu moja (Doha)
Tofauti na viji nchi vidogo vidogo ambavyo events kama hizo ndio tiketi ya kujulikana na kukuza chumi zao.