Kombe la dunia mwaka huu halina mvuto ni vile tu napenda mpira, ila US sio bora kwenye uandaaji

Kombe la dunia mwaka huu halina mvuto ni vile tu napenda mpira, ila US sio bora kwenye uandaaji

Kiujumla pia kwa masaa ya Afrika Mashariki ni vigumu sana kufurahishwa na michuano hiyo kwa baadhi ya michezo, Imagine game to start saa 11 Alfajiri, saa saba usiku, and so on at nearby or few hours after midnight na ikizingatiwa raha ya mpira kutazama na wenzio katika vibanda vya mipira, how comes huo muda E.Africa tunatoka nyumbani kuelekea vibanda vya mipira!
Loooh, tujifunze kuitafuta radha njema ya ushabiki wa mipira hata tukiwa majumbani.
 
Iko kawaida, ula kuna vitu vitatu ambavyo vinafanya uone hayajachamka.
1. Uhamasishaji wa ndani namaanisha vyombi vya habari vya ndani ni hafifu.
2. Watu hawana furaha. Kiwango cha furaha kwa watanzania kimezidi kushoka chini. Watu wamekata tamaa, wanaendelea na mambo yao madogo madogi badala ya kushangilia mpira.
3. Tofauti ya time zone. Mechi nyingi zinachezwa muda mbaya ambapo ni vigumu kwa watu wengi kufuatilia
 
Kiujumla pia kwa masaa ya Afrika Mashariki ni vigumu sana kufurahishwa na michuano hiyo kwa baadhi ya michezo, Imagine game to start saa 11 Alfajiri, saa saba usiku, and so on at nearby or few hours after midnight na ikizingatiwa raha ya mpira kutazama na wenzio katika vibanda vya mipira, how comes huo muda E.Africa tunatoka nyumbani kuelekea vibanda vya mipira!
Loooh, tujifunze kuitafuta radha njema ya ushabiki wa mipira hata tukiwa majumbani.
Hata kipindi kile WC inapigwa uarabuni kuna watu walikuwa wanaumia vile vile kwa masaa ya mechi zinazochezwa mida hiyo.

Game hata ikiwa saa 11 ila ikawa ya mvuto watu watatazama tu mkuu. Mfano mimi Game ya leo ya saa 7 kati ya Brazil na Morocco lazima niitazame tu hata ingekuwa saa 9 usiku.

Michuano tunaiona ya kawaida ni sisi huku ila Ulaya yote, America yote inafurahia sana haya mashindano.
 
Kila nchi ina sheria zake mbona Qatar walituzuia wala kitimoto na pombe tuka tii
Yeah, hata watu waupinde walipigwa nyundo za kuingia Qatar kufanya mambo yao ambayo ni kinyume cha sheria na taratibu za Qatar. Nadhani mashindano yamefanyika wakati ambao kiusalama sana si mzuri hasa kwa Marekani so lazima achukue tahadhari, tusilaumu sana. Yawezekana hata sisi mwakani tutawapiga spana waSouth Africa kungia kwetu kwenye nchi yetu wakati wa mashindano ya AFCON kutokana na xenophobia huko kwao 😁😁😁
 
Usa wapumbafu tu ..Bora wangepeleka Saudi Arabia ama Japan..au Singapore au Australia ..watu wange enjoy sana kula Bata Hali ya hewwa safi majiji masafi
 
Game za moto hivi kisha mtu anasema eti kombe halina mvuto. Tuacheni chuki wazee, mbungi inapigwa haswa.
 
Point Yako kubwa ilikuwa Iran , mpira unachezwa uwanjan na sio nje ya uwanjan naona umeongelea mambo mengi ya nje ya uwanja.
 
Hii ni kwa wote... Tunaangalia tuu kwa sababu tunapenda mpira...

Labda ikifika mtoano huko vibe litakuja...
Mkuu chukua👊 👏👏 yani ww ndio mimi, naangalia sababu ni mpira napenda halina hamasa kabisa, nakumbuka hata wasiopenda mpira n kufuatilia ikifika kombe la dunia wnakua mashabiki na huwa wanaangalia lakini kwa sasa waliobaki ni wapenzi wa mpira tu.
 
Tulizoea kuona mambo mengi sana kabla ya kombe la dunia. Nashangaa sijaona logo rasmi, sijaona font rasmi sijaona katuni(mascot) hakuna amsha amsha. Kilichoboa zaidi ni vigezo vya kuingia Marekani.

Maafisa wa Iran na baadhi ya nchi nyingine kufukuzwa kwa refarii wa kisomali yani katika kitu ambacho FIFA ilikosea ni kupeleka Marekani hili kombe. Bora wangeandaa Mexico pekee kuna hamasa ya mpira.

Soma Pia: Trump: Kwa kweli ‘sijali’ kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026
Mbona naona lina mvuto
Labda huko ulipo
 
nakubaliana kabisa na wewe; maandalizi yalikuwa mazuri ila utawala ukaharibu hali ya hewa yote
 
Litakuaje na mvuto wakati wenyewe wanajua ukiritimba wanaoufanya kwa binnaadamu wenzao! Wale ni zaidi ya zombi
 
Back
Top Bottom