2014 ni motokombe la dunia 1998 lilifana sanaa ma amsha amsha zake, burdan ikaja anza kujiishia 2002 na likaja kujifia 2006.. walijiondokea na kombe lao la duniaView attachment 3606468
Kwa wote kivipi, mm nitoe huko kwa woteHii ni kwa wote... Tunaangalia tuu kwa sababu tunapenda mpira...
Labda ikifika mtoano huko vibe litakuja...
Hata najua basi kaka!2014 ni moto
Kumbe huangalii halafu unapondaHata najua basi kaka!
kombe la dunia la mwisho kwangu kuangalia ilikuwa 2002 baada ya hapo nikawa na EPL Arsenal, kutokea 2004 nikaachana na mambo ya mpira wa miguu hadi leo hii
Ni kweli kaka, nimeachana na mambo ya football tokea 2004 nimebaki kusikia tuu juu juuKumbe huangalii halafu unaponda
Kwangu la 2014 lilikuwa zuri kuliko yote
Sahihikombe la dunia 1998 lilifana sanaa ma amsha amsha zake, burdan ikaja anza kujiishia 2002 na likaja kujifia 2006.. walijiondokea na kombe lao la duniaView attachment 3606468
Hata mimi nilishaacha tangu 2017Ni kweli kaka, nimeachana na mambo ya football tokea 2004 nimebaki kusikia tuu juu juu
Utadhani unaangalia livescore, ila patachangamka tu !Subiri hatua za makundi ziishe.. ila pia vibe imepungua, sio sawa na lile la 2010.
Unasahau Ndugu zako wa Mo29 kweli?Dunia si sehemu ya amani tena …yaan unajiandaa kurukaruka na kupiga kelele unakumbuka nduguzo wanakufa gaza,palestina,sudan,congo nk… hujakaa sawa unakumbuka ukirudi South Afrika kimekuramba….hilo vibe litoke wapi.
labda namba 1 tu...Ilizoeleka kuona World Cup kukiwa na furaha tele. Huenda sasa hivi Kuna athari kama:
1. Fujo za Duniani zinazoathiri amani
2. Kuwa na majukumu binafsi ya kifamilia
3. Changamoto za kijamii na kisaikolojia
Vizazi vya mastaa wenye vipaji vilishapita, wamebaki wachezaji wa mazoezi tuu.Au ni kwangu Mimi naona limepoa sana