Kombe la dunia mwaka huu halina mvuto ni vile tu napenda mpira, ila US sio bora kwenye uandaaji

Kombe la dunia mwaka huu halina mvuto ni vile tu napenda mpira, ila US sio bora kwenye uandaaji

Hii ni kwa wote... Tunaangalia tuu kwa sababu tunapenda mpira...

Labda ikifika mtoano huko vibe litakuja...
Kweli kabisa , nakumbuka ile ya Qatar naacha kujisomea chuo nacheki gemu na hata kabla ya kuanza na baada amsha amsha nyingi mwanzo mwisho.

Hii ya mwaka huu Bora nicheki series tu labda baadae tuone ila mvuto na amsha amsha hamna mpka sasa
 
Umezeeka jomba, weldi kapu inalo vibe ni wewe tu umeanza fikia mda wa kuanza kuacha kutumia sukari
 
kombe la dunia 1998 lilifana sanaa ma amsha amsha zake, burdan ikaja anza kujiishia 2002 na likaja kujifia 2006.. walijiondokea na kombe lao la duniaView attachment 3606468
Umenikumbusha mbali mkuu, Nadhani siku hizi kuna entertainment nyingi kupitia simu tofauti na kipindi cha 2002-06 ambapo mpira ni mpira alternative za entertainment ni chache. Hapa mpaka robo au fainali pengine kukachangamka.
 
Machawa wa ccm wamehamia kuponda kombe la dunia.
Niwaambie tu kichapo chenu kutoka kwa kiranja wa dunia bado kipo pale pale
 
Tulizoea kuona mambo mengi sana kabla ya kombe la dunia. Nashangaa sijaona logo rasmi, sijaona font rasmi sijaona katuni(mascot) hakuna amsha amsha. Kilichoboa zaidi ni vigezo vya kuingia Marekani.

Maafisa wa Iran na baadhi ya nchi nyingine kufukuzwa kwa refarii wa kisomali yani katika kitu ambacho FIFA ilikosea ni kupeleka Marekani hili kombe. Bora wangeandaa Mexico pekee kuna hamasa ya mpira.

Soma Pia: Trump: Kwa kweli ‘sijali’ kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026
Wewe unataka uandaaji au mpira?

Fuatilia hata baikoko sio lazima ushabikie mpira
 
Back
Top Bottom