Kombe la dunia mwaka huu halina mvuto ni vile tu napenda mpira, ila US sio bora kwenye uandaaji

Kombe la dunia mwaka huu halina mvuto ni vile tu napenda mpira, ila US sio bora kwenye uandaaji

Hata ile ya Uarabuni ilikuwa ya moto sana. Ya 2006 ilikuwa ya kawaida sana tu labda uizungumzie hatua ya nusu fainal na ile final basi.
Mkuu Niamini mimi Kombe La Dunia 2006 lilikuwa moto zaidi ya moto wenyewe...hapa miamba wote wa Soka walikua ndiyo wanamalizia malizia kustaafu soccer....
 
Back
Top Bottom