Kombe la dunia mwaka huu halina mvuto ni vile tu napenda mpira, ila US sio bora kwenye uandaaji

Kombe la dunia mwaka huu halina mvuto ni vile tu napenda mpira, ila US sio bora kwenye uandaaji

Tulizoea kuona mambo mengi sana kabla ya kombe la dunia. Nashangaa sijaona logo rasmi, sijaona font rasmi sijaona katuni(mascot) hakuna amsha amsha. Kilichoboa zaidi ni vigezo vya kuingia Marekani.

Maafisa wa Iran na baadhi ya nchi nyingine kufukuzwa kwa refarii wa kisomali yani katika kitu ambacho FIFA ilikosea ni kupeleka Marekani hili kombe. Bora wangeandaa Mexico pekee kuna hamasa ya mpira.

Soma Pia: Trump: Kwa kweli ‘sijali’ kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026
Sisi tunaagalia soka uwanjani haya mengine ni extra tu. Kwa mtu ambaye amewekeza nguvu kwenye pitch mzuka tushaupata hata kabla siku haijafika. Labda liibuke tishio la usalama
 
Sisi tunaagalia soka uwanjani haya mengine ni extra tu. Kwa mtu ambaye amewekeza nguvu kwenye pitch mzuka tushaupata hata kabla siku haijafika. Labda liibuke tishio la usalama
Kwenye kipengele hicho mwenyewe nashukuru ila kuna kachumbari sasa, unashiba bila vionjo
 
Nichuki tu dhidi yamarekani naujue marekan ndo kiwanja chadunia kila raia anataman kufika state, hii sio mara yakwanza kuandaa waliandaa 94 nalilikua tam sana by then
 
Tulizoea kuona mambo mengi sana kabla ya kombe la dunia. Nashangaa sijaona logo rasmi, sijaona font rasmi sijaona katuni(mascot) hakuna amsha amsha. Kilichoboa zaidi ni vigezo vya kuingia Marekani.

Maafisa wa Iran na baadhi ya nchi nyingine kufukuzwa kwa refarii wa kisomali yani katika kitu ambacho FIFA ilikosea ni kupeleka Marekani hili kombe. Bora wangeandaa Mexico pekee kuna hamasa ya mpira.

Soma Pia: Trump: Kwa kweli ‘sijali’ kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026
Wamarekani wenyewe ndiyo kwanza wako kwenye basketball wanaangalia mechi za Knicks na Spurs zinaendaje.

Kila unapoenda gumzo ni New York Knicks.

Mpaka kuna Muafrika mmoja hajui michezo ya Marekani akashangaa akauliza hii New York Knicks ndiyo timu ya Marekani inayokwenda kwenye World Cup?

Kumbe ni timu ya basketball.
 
Mvuto bado upo sema usha kua mtu mzima na majukumu mixer stress hata **** za sasa hivi sio tamu kama ulipo kua kijana mdogo
 
Mpaka sasa hakuna mechi iliyochezwa USA ila lawama zisizo na kichwa anapewa USA 😂 Wabongo bhana
 
Sio kama zamani
kombe la dunia 1998 lilifana sanaa ma amsha amsha zake, burdan ikaja anza kujiishia 2002 na likaja kujifia 2006.. walijiondokea na kombe lao la dunia
Screenshot_20260612-194728.png
 
Back
Top Bottom