Upo sahihi mkuu, marekani ni Dunia ya kwanza mambo kama hayo hata kama kuna vibe yataonekana ya kawaida tu.Shamra shamra zipo sana ila haiwezi kulingana Qatar. Qatar ni nchi ndogo sawa na jimbo moja tu dogo la Marekani yenye majimbo 50. Qatar WC ilikuwa kwenye viwanja 8 vilivyo karibu karibu kwa hiyo watu wote waliosafiri walikuwa sehemu moja (Doha)
Udini upo wapi, unaweza nipa sababu kwa nini mashabiki wa Ivory Coast na Iran wamezuiwa? Halafu huo udini wangu upo wapi.Hakuna kombe lenye mvuto kama hili, haijawahi tokea .Wataalam ndio wanasema hivyo.
Pia FIFA wanawaomba US wabid tena ikiwezekana 2038.
Ukiliangalia kwa engo ya udini huwezi kuona jema
Upo kwa kubakwa kwa Iran na kuuawa kwa Ayattoulah. πππUdini upo wapi, unaweza nipa sababu kwa nini mashabiki wa Ivory Coast na Iran wamezuiwa? Halafu huo udini wangu upo wapi.
Sasa unafananisha Qatar ambayo ipo sawa na Iringa na USA we kijana wa Sheikh Mwaipopoππ€£?Soma halitakiwi kuwa hivyo, sababu ni kitu kinacho waleta pamoja,Qatar lilikuwa Zurich na wala hakukuwa na hizi restrictions.
Wahenga walisema akili ni nywele ,ila zako si za kichwani zitakuwa ni za Mkund*niUpo kwa kubakwa kwa Iran na kuuawa kwa Ayattoulah. πππ
Hakuna kombe lenye mvuto kama hili, haijawahi tokea .Wataalam ndio wanasema hivyo.
Pia FIFA wanawaomba US wabid tena ikiwezekana 2038.
Ukiliangalia kwa engo ya udini huwezi kuona jema
Ujihadi.Hizi chuki kwa US sijui wadau wamezitolea wapi.